chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Mwanaume anapaswa kusimamia maneno yake hata kama yatamsababishia kifoMwanaume anapaswa kufanya nini sasa...Tusijichanganye...
DuhMwanaume hutakiwi kupumuliwa kisogoni.
hutakiwi kuoa singo mazeriKwema wakuu
Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye
1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat.
2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa
Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
Msimamo bila pesaMwanaume msimamo
Kwa sababu huna pesa ndio usiwe na msimamo?Msimamo bila pesa
Wewe sio mwanaume anayezungumziwa hapaMsimamo bila pesa
I agree 💯Wewe sio mwanaume anayezungumziwa hapa