Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

Hao wanaume kuwapata kazi, waliopo ni wale ambao akikatiza panya miguuni nae amesharuka juu ya kochi. Kuna kazi tena!?
 
Kwa uandishi huu wewe ni mlugha lugha tu. Wewe na uliyemuacha, uliyemuoa, wote watatu ni walugua lugha.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Hapa sjaelewa namna ya kumjibu mwanamke kwamba huna hela ndio kunadetermine uanaume halisi?
 
Hapa sjaelewa namna ya kumjibu mwanamke kwamba huna hela ndio kunadetermine uanaume halisi?
Hapa sjaelewa namna ya kumjibu mwanamke kwamba huna hela ndio kunadetermine uanaume halisi?

Wanawake ni viumbe wanaopenda majaribu na Kutafuta attention.
Kauli na majibu yako Kwa Mwanamke yanasehemu kubwa ya kukutambulisha wewe ni Mwanaume wa Aina gani
 
5. Usioe mwanamke mnaelingana umri au alie kuzidi umri.
 
Unayosema ni kwel mkuu taikon lakin je kwa mambo yalivyo sasa watoto wanalelewa na mzaz mmoja ,hakuna malezi ya upande mwingne ,familia hii ya upande mmoja itatoa wanawake mabikra na wanaume majasiri ?
 
Mwanamke hawezi kumfanya mtoto wake wakiume kuwa mwanaume kamili, labda kijana mwenyewe awe na Akili za kuzaliwa
 
Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.

Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.

Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
Ila huwa najiuliza mapenzi yanatakiwa kuwa ni eneo la furaha, amani, utulivu, kusikilizana, etc ila ndio kuna moto wa fujo za kila aina.

Imefika hatua mtu ukimtajia jina la danguro au sehemu wanapouza ngono anapata amani na shauku ya kwenda ila ukimwambia Ndoa au mahusiano anaingia baridi anahisi kiama kimemfikia.
 
Unatakiwa kumkazia unakuwa mbogo akileta us*ng*. Mwanamke ukiishi nae kama mtu mzima mwenzako itakula kwako.

Ukiwa na watoto wawili na mkeo hesabu hapo ndani una watoto watatu na mtu mzima ni wewe pekee yako. Ukijidanganya kugawa mamlaka yako ya maamuzi kwa mwanamke ajiamulie hautaamini vituko na upuuzi atafanya hapo ndani.
 
Koma wewe, shoga mwenyewe. Kwahiyo kutahiriwa hospital tokea lini imekuwa tatizo?
 
Hao wanaume kuwapata kazi, waliopo ni wale ambao akikatiza panya miguuni nae amesharuka juu ya kochi. Kuna kazi tena!?
Hahah kuna mmoja hapa mtaan anaogopa wale shavishavi wa kwenye miembe haifai yaan kha! Yupo radhi abadili njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…