Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Hao wanaume kuwapata kazi, waliopo ni wale ambao akikatiza panya miguuni nae amesharuka juu ya kochi. Kuna kazi tena!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra wapo wengi sana. Acha majivuno, kaa vizuri na wazee!.Bikra fata primary ufungwe 30
Hahaha ili wawaendeshe vizuri."true wanawake wanawapenda Sana wanaume jeuri.. wasiowaheshimu, ila kuolewa wanawapenda hao wapole"
Kwa uandishi huu wewe ni mlugha lugha tu. Wewe na uliyemuacha, uliyemuoa, wote watatu ni walugua lugha.Majukumu ya kiume kama yapi?...
Anzia kitandani..
Matumizi (pesa)
Kupendeza (nguo)
Vyote nilimtimizia vilivyo, ila kubali kataa mwanamke akipendwa sana huwa wanaanza malinga linga na huyo mwanamke nilimpiga chini na kuoa mwingine...
Ila baada ya hapo aliludi kwangu akilia mpaka Leo anahitaji huduma yangu na mimi nina familiar tayari ambayo nilioa mwanamke asiye bikra na yupo vizuri hatari.
Hapa sjaelewa namna ya kumjibu mwanamke kwamba huna hela ndio kunadetermine uanaume halisi?Waulize Wanawake ndio wanawajua hao wanaume wanaolia Lia,
Wewe huwezi kuwaona wanaume wanaolialia Ila Dada zetu wanajua nini ninasema,
Kwa mfano, Mwanamke akikuomba Pesa au akikuambia wewe huna pesa ya kumpa, majibu utakayompa ndio yadhihirisha wewe ni Mwanaume halisi au wale wanaume lialia.
Hapa sjaelewa namna ya kumjibu mwanamke kwamba huna hela ndio kunadetermine uanaume halisi?
Hapa sjaelewa namna ya kumjibu mwanamke kwamba huna hela ndio kunadetermine uanaume halisi?
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 X5001. OA BIKRA
5. Usioe mwanamke mnaelingana umri au alie kuzidi umri.Kwema Wakuu!
Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe.
1. OA BIKRA
Hii ilikuwa moja ya hoja kuu Kwa kijana anayeenda kuoa. Mimi kama Taikon ninawaelewa wazee na nina sababu ya kufanya hivyo. Ingawaje inaweza kuwa ni Mtazamo wa kizamani lakini Kwa wanaouzingatia wengi wao wanapata matokeo chanya.
2. OA Kabila lako au mnaolingana Mila na desturi. Achana na hawa Watoto wasiojua maana ya kabila, sijui Mila na desturi, hawa waliozaliwa mjini. Hao hawawezi kuwa kitu kinachoitwa ukabila.
Mahusiano hayajawahi kuwasumbua Watu wanaofuata mambo ya Mila na desturi za makabila Yao. Mapenzi yanayosumbua Wenye kuiga Mila za kigeni, wasomi na wadandia Mambo kama dini za kigeni.
3. Mwanaume ni kichwa cha Nyumba.
Kichwa kina ubongo, macho, masikio, mdomo. Mwanaume lazima uwe mwanaume, ukisema umesema, ukisimamia Jambo umesimamia, mchakarikaji, unayejituma kwaajili ya familia na jamii yako.
Hakuna usawa baina ya Mwanamke na Mwanaume. Mwanaume hapswi kufuata matakwa ya MKE au Mwanamke. Wote wanaofuata Kanuni hiyo mahusiano hayawezi kuwasumbua. Hata hivyo mwanaume kama kichwa cha Nyumba hapaswi kuwa muonevu na kutowatendea Haki Watu wa nyumba yake.
4. Mwanaume Halii
Mwanaume kujilizaliza, kutia Tia huruma, sijui. Kupiga magoti au kuwa chawa na mpambe mpambe kijingajinga Huko ni kujiingiza kwenye ushoga. Hakuna Mwanamke anayempenda mwanaume lainilaini, mliaji liaji, dekaji dekaji, hakuna.
Mahusiano lazima yakusumbue tuu!
Umetongoza Mwanamke kakukatalia Achana naye, usibembeleze na kujiliza Liza kama lipuuzi, usije ukadhani kujiliza ndio kutaugeuza moyo WA Mwanamke, zaidi Sana atakudharau.
Umepata matatizo kidogo unalia, sasa unalia nini kama mtoto, sasa Baba mzima unalia Mkeo na watoto wafanye nini. Mwanaume lazima uwe ngangari.
Hawa Wanawake wapo hivi walivyo Kwa sababu siku hizi wanaume wengi wamekuwa kama Wanawake.
Wanawake wanapenda Wanaume washoka, wahuni, wenye Roho ngumu, wasioogopa, wenye Akili, wenye maamuzi.
Nipumzike Sasa.
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
5. Usioe mwanamke mnaelingana umri au alie kuzidi umri.
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 X500
Wewe lazima utakuwa shoga,...Kwa uandishi huu wewe ni mlugha lugha tu. Wewe na uliyemuacha, uliyemuoa, wote watatu ni walugua lugha.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Unayosema ni kwel mkuu taikon lakin je kwa mambo yalivyo sasa watoto wanalelewa na mzaz mmoja ,hakuna malezi ya upande mwingne ,familia hii ya upande mmoja itatoa wanawake mabikra na wanaume majasiri ?
Ila huwa najiuliza mapenzi yanatakiwa kuwa ni eneo la furaha, amani, utulivu, kusikilizana, etc ila ndio kuna moto wa fujo za kila aina.Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.
Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.
Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
Unatakiwa kumkazia unakuwa mbogo akileta us*ng*. Mwanamke ukiishi nae kama mtu mzima mwenzako itakula kwako.Mimi nimetoa bikra akiwa na miaka 20 nimekaa uchumba mwaka 1, yule mwanamke alibadilika sana ,baada ya kuona namjali na kumuweka kipaumbele..
Wanawake bikra wa sasa ivi siyo sawa na wale wa zamani... wa sasa ivi bikra ikitoka tu unakuwa umeshamfungulia njia ya kudanga ,na sababu kubwa ni utandawazi.
Koma wewe, shoga mwenyewe. Kwahiyo kutahiriwa hospital tokea lini imekuwa tatizo?Taikon umesahau jambo la Muhimu sana, Mwanaume tahiriwa jandoni na peleka kijana wako Jando
Hili linasaidia sana kulinda hulka za kiume namaadili pia yanayopatikana kwenye mafunzo ya jandoni
Tabia ya Wanawake kupeleka Watoto tena wadogo kutahiriwa hospitalini ni mbaya inatengeneza mashoga
Excuse me kama ni nje ya mada yako
Jambo lingine ni Mwanaume kufanya KAZI na kuprovide kwa familia na sio Mwanamke ndio alete mkate wa nyumbani, hii inaleta dhana mbaya kwa watoto
Hahah kuna mmoja hapa mtaan anaogopa wale shavishavi wa kwenye miembe haifai yaan kha! Yupo radhi abadili njiaHao wanaume kuwapata kazi, waliopo ni wale ambao akikatiza panya miguuni nae amesharuka juu ya kochi. Kuna kazi tena!?
Fafanua zaidi umemaanisha nini kusema inbreeding pale Meru?! Ila ile sehemu kuna wanawake wa hovyo sijawahi kuona.hiyo namba mbili ndio chanzo cha inbreeding pale MERU
Buibui [emoji777]Sina buibui la kuvaa kwenye mualiko[emoji16]
WEE!!!, kasema nani! acha utani na kitu kinaitwa shepu 😂😂I think kikubwa ambacho watu wamepuuza ni "Uzuri wa mwanamke si sura ni tabia"