Tupo hapo hapo kwamba utandawazi unasababisha risk unapooa mwanamke ambaye hajajua ni nn anataka na maisha yake. Hakuna uhakika wa 100% kuwa atakuwa mke bora, bila kujali umakini unaousema risk ipo.
Kuna mifano mingi tu ya watu waliooa mabinti wadogo na wakaja kuwa wasumbufu baada ya kuzifahamu raha za dunia ambazo hakuzijua kabla.
Jamaa yako alikuwa lofa. Huwezi kuwa na mafanikio makubwa kabisa then ukawa lofa. Fuatilia matajiri wote wakubwa huwezi kukuta lofa kwenye list zao. Masikini ndiyo huwa malofa