Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Tupo hapo hapo kwamba utandawazi unasababisha risk unapooa mwanamke ambaye hajajua ni nn anataka na maisha yake. Hakuna uhakika wa 100% kuwa atakuwa mke bora, bila kujali umakini unaousema risk ipo.Kwa hiyo tumehama kwenye utandawazi?
Kuna mifano mingi tu ya watu waliooa mabinti wadogo na wakaja kuwa wasumbufu baada ya kuzifahamu raha za dunia ambazo hakuzijua kabla.
Kuna msanii alishaimba pia kuhusu hili.