mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao.
2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke.
3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta mafanikio itakusaidia. Kuamka mapema sana kama Yesu kutakuongezea Muda wa uzalishaji na mafanikio.
4: Biashara na Ubunifu. Mithali na visa vingi vya Yesu vimejaa kanuni za mfanyabiashara aliyefanikiwa.
5: UOGA. Huwezi kusoma biblia ukabaki kuwa muoga wa maisha na hofu ndogobdogo. Maana Mule kuna watu walitupwa kwenye simba lakini hawakuliwa, wako waliotupwa motoni lakinj haukuwachoma.
6: AFYA Ukiishi kanuni za afya za biblia. Hutaugua. Wayahudi pekee ndio walikuwa hawafi wakati wazungu ulaya nzima walipukutika katika janga maarufu kama BLACK DEATH huko ulaya zama za ujinga.
Ni Mengi sana.
Kama umeshindwa kusoma biblia kwa sababu za kidini soma biblia kama kitabu au manual ya maisha. Utanishukuru.