mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
- Thread starter
- #21
Hapana. Mungu aliyeanza kwa kuumba wawili tukiamua atajua kubalance.Kwa mujibu wa sensa iliyopita inaonyesha kuwa wanawake tuko karibu mara tano zaidi ya wanaume.
Sasa kila mmoja akiwa na mmoja huon kama wengi watabaki bila wenza?
Hapa ndipo tabia chafu zinapoanzaga
Ila hakutakuwa na maamuzi ya pamoja. Ni wewe na Mungu wako. Na atakutengenezea mazingira ya kunufaika na huo mfumo wake.
Sasa hivi kila maamuzi ni kwa ajili ya kupinga mifumo ya Mungu. Kwanza tunakokwenda kutakuwa na wanawake wanaotaka kuolewa na wanawake, na wanaume wanaotaka kuolewa na wanaume. Na kutakuwa na Tabaka kubwa wasiojijua kuwa ni wakike au wa kiume hata kama jinsia inawatonyesha.
Sasa ni vizuri MTU mmoja mmoja akachagua, Kabla dunia haijashawishi MTU ajague vitu visivyofaa.