Hakuna anayejua atafanikiwa lini?wapo watu mafanikio yao yalitokana na wazazi , ,mfano mtoto wa kimasai anamkuta babake na ng'ombe 100 tayari anakuwa tajiri
Ujue maisha hayapangwi bali yanafanyiwa bidii na kujinyima ŵapo wanao sitaafu miaka 50 akipata hela anaanza kutafuna kwa starehe baadaye zinaisha pyuu
Kwa hivyo kusema eti ikifika miaka kadhaa au kabla unatakiwa uwehivi au uwe na hiki ni uongo unaweza oa mapema usipate mtoto ukaja kuzaa una 50 yrs
Ninalotaka uelewe ni kuwa maisha hayana formula bali ukiwa na uzima fanya bidii
Biblia imeandika wapo wenye bidii ambao huambulia patupu ,kunawatapanyao hula na kunywa ambao hupata Mali.
Kusema ukifika miaka kadhaa fanya hiki au uwe umefanya hiki, tayari unaonekana hujui maana ya maisha ,maisha ni fumbo ,angalia kwanini bara la Africa halijaendelea kuna umasikini wa kutupwa pamoja na kuwa na rasimali nyingi lakini wazungu hawana rasilimali lakini wanamali nyingi leo hii wanapigana na kuuwana bado standard ya maisha yao yako iko,juu weusi hatuna vita lakini umasikini ni wa kutisha
Naomba niseme kuwa maisha ni fumbo Mungu ndiye hulifumbua