Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

Kabisa mkuu ila kwangu mimi hiyo nimewaachia vijana kwa sasa😁
Wee starehe haina vijana wala wazeee...alisema mwingi ndugu zangu ugo jwa umemaa pabaya...vijana wanapataka wazee wanapataka🤣🤣🤣🤣
 
Yes n umri sahihi miaka 21 kijana anamaliza Chuo mtaani 🤣anarudi kusumbua tu
Kijana wa chuo ina bidi ajiongezee, kipindi hicho pale dodoma sisi ndio tulikua na maduka ya mwanzo ya wanachuo pale ngongona mkuu , kwa sababu tulisoma huku tukijua tumeacha familia🤔
 
Wee starehe haina vijana wala wazeee...alisema mwingi ndugu zangu ugo jwa umemaa pabaya...vijana wanapataka wazee wanapataka🤣🤣🤣🤣
Mkuu humu unaonekana kama unanuka mbususu mda wote😅😅😅😅😅😅😅
 
Nashukuru min -me, najua.
Nakumbuka kuna wakati fulani ililetwaga mada kama hii watu waliponda vibaya kuhusu umri na mafanikio, wanasema vinapishana sana 🤔🤔🤔
Mafanikio yanapatikana kwenye umri wowote ule wala hakuna haja ta kujipa stress
 
Back
Top Bottom