Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

😁😁😁 mkuu sio kila anae kusumbua sifikiri kama hana akili ni mtu anaamua awe hivyo😅

Note: makande sio chakula.

Mimi na m-class mtu vile anavyojiweka/jionyesha sio Kazi yangu kujua undani wa mtu vile alivyo.

Nitamvunjia mtu heshima na kutokumpa HAKI yake ikiwa atafanya ujinga na kujionyesha kama mjinga alafu Mimi nimuite mwerevu au anaakili.
 
😁😁😁 kana haiharibu ugali wa mtu sioni tatizo mkuu.
 
Sijazeeka mkuu na hata hakuna anafikiri kama nina umri huu wengi hudhani ni wa 90 hivi , katika vitu napinga ni unene na kitambi😅😅
Kweli ukijiweka fresh
Mbona hizi toto za 2000 utatamba Nazo tu
Wakikuona wa 2000 mwenzao🤣
 
Kweli ukijiweka fresh
Mbona hizi toto za 2000 utatamba Nazo tu
Wakikuona wa 2000 mwenzao🤣
😄😄😄 sema totoz nazo zinazeesha mkuu , nina mpango wa kugonga miaka mitano bila totozi kabisa.
 
Haaa! Me ndo anasa yangu, haya maua yapo mengi Wacha yatuuwe tu
Sema nimetania ila hatuja pishana sana, sema ndio hivyo nilipata mtoto mapema asee , kijana wangu wa kwanza now ana 18😊 katimiza juzi tu ina raha yake na karaha pia.
 
Back
Top Bottom