Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

Kama mkristu nilifikiria ufufuko ni kweli kumbe ni "fix". Sasa najua maisha ni mchezo, cheza vizuri ufanikiwe, hakuna maombi.
 
Hii comment nimethitisha we ni mtoto sio kila mzee mwenye uhitaji alichezea maisha, na sio kila mwenye maisha magumu ni mvivu, kwa inavyoonekana unajichukulia ni perfect maisha hayako hivyo sisi ni binadamu tunateleza na tuna mapungufu

Kuna watu waliweka saving kubwa kipindi Cha ujana, ghafla wameingia uzee magonjwa hayo wamejikuta wametumia ela nyingi alafu baada ya mda wanafilisika, Sasa wakikutana na mtu mwenye akili ndogo kama wewe utaishia kuwalaumu kwamba hawakusave ela
Dah umempasulia ukweli wenyewe,,jamaa amereply kitoto sana.
 
Wapi nimesema usimsaidie Mzazi?
Mbona unawaza mambo yako kichwani alafu unanilisha mimi, Acha uongo.
Embu nukuu hiyo sehemu niliyosema usimsaidie Mzazi.

Jitahidi ukiwa kwenye mijadala uwe na Utulivu wa Akili ndipo utoe hoja zako.
Kuliko unavyoendekeza mihemko ya kihisia. Alafu kama ni MTU mzima ndio haileti picha nzuri, mihemko Kwa Watu wazima ni aibu na mara nyingi huwadhalilisha.

Kama hukuelewa ungeuliza
Personal attack.
 
Back
Top Bottom