Hii comment nimethitisha we ni mtoto sio kila mzee mwenye uhitaji alichezea maisha, na sio kila mwenye maisha magumu ni mvivu, kwa inavyoonekana unajichukulia ni perfect maisha hayako hivyo sisi ni binadamu tunateleza na tuna mapungufu
Kuna watu waliweka saving kubwa kipindi Cha ujana, ghafla wameingia uzee magonjwa hayo wamejikuta wametumia ela nyingi alafu baada ya mda wanafilisika, Sasa wakikutana na mtu mwenye akili ndogo kama wewe utaishia kuwalaumu kwamba hawakusave ela