Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

wewe kweli una mental problem, kwenye post# 105 umeandika "Kuna mademu tunawala anal vizuri na wala hawavai pampus" halafu hapa Tena unaandika "mm sifanyi anal..." which is which ? shwain wahed!
😂😂Sio mpenzi
 
Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Salute kwa PUSHA
 
Samahani, naomba kumjibia swali lako, ni kwamba hana ushahidi wowote, wa kuwatoa watu juu ya wanachoamini hivi sasa.
.
.Ikiwemo juu ya alichoandika kuhusu ushoga na punyeto, naomba ukisoma eneo hili ukazie, na majibu yake utayapata.
😂😂😂😂Kama una hoja lolote la kupinga nilichosema njoo na fact yako...kama huna nyamaza huna tofauti na wabongo wengi wanaamini story za vijiweni ila kichwani zero na ndo maana serikali inawapa propaganda waganga na wachungaji wanawatapeli coz mpo simple minded bendera hufata upepo so far no one kaja na hoja waliojitahidi tumeongea vizuri tumeelekezana yameisha... usimpangie mtu jinsi ya kuelewa post yangu
 
Mimi nimekujibia tu swali uloulizwa, kule juu, maana hujaweka fact kupinga kinachoaminiwa na jamii.

Mfano Kuondoka kwa marinda kwa anaefumuliwa, na madhara ya punyeto.
 
Unajua watu kwenye huu uzi mnaanza kuwa kama makolo...😂anal wanafanya wanaume tu...Kuna sehemu nimesema muwe mashoga au mi shoga...first 2 facts nimeongelea wanawake mbona hamuoni...Sasa facts ni hivi nimefila mademu na kugundua Malinda haichanwi ni propaganda, Kuna Malaya kibao wanauza nyuma Wana Malinda.. asa wewe Kama demu wako haumli nyuma na ana Malinda usidhani ndo haliwi nyuma analiwa vizuri tu wewe tu ndo humli wewe tu ndo ustadh wengine wanamfaidi... ndo point Ya hiyo fact...hasa wote mnaonitukana ongeeni na mademu zenu vizuri
sitntta wajo sin
We ndo shoga
Acha kuruka kuruka najua unataka pakuliwa
 
Mimi nimekujibia tu swali uloulizwa, kule juu, maana hujaweka fact kupinga kinachoaminiwa na jamii.

Mfano Kuondoka kwa marinda kwa anaefumuliwa, na madhara ya punyeto.
Do ur research... anal hawafanyi wanaume tu...hata mademu wanafanya...Jiulize hawabani mavi wale.. wanaharisha.. vitu vingine fikirieni..kingine kuhusu punyeto watu wa mental health wapo sahihi anything too much ni harmful lakini watu wanasema Puchu ni bad yaani hata Mara moja kwa mwaka unakuwa haudindi cjui unakuwa inapungua..ndo nasema ni uwongo na facts zipo all over the place na research ni wewe tu uvivu wako
 
Kawe shoga tu.... hamna mwenye shida na wewe zaidi ya kizazi kilichokuleta duniani
 
Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Wewe ni shogale
 
Hivi haya marinda huwa ni kitu gani?
Ni mfano wa mifuko fulani za zamani ya mgongoni, yenyewe mikanda yake ya kunebea ni kamba, alafu mfuko wake, unafunga kwa kamba, iliyoshonewa, ukivuta ile kama umeufunga mfuko.

Sasa kitendo cha kuunga mfuko unstengeneza matinda, ila ile kama ikikatika na mfuko ukawa haufungwi, marinda inakua hamna.
Nimekupa mfano wa marinda yanavyokua.
 
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

katika hili naomba unisaidie ufafanuzi mkuu maana huku kutaani kwentu kunamwana anaweza enda jela miaka ya kutosha kutokana na kosa la ubakaji. Ipo hivi kuna bint wa miaka 12 ikavumishwa ana mimba ndugu waupande wakiume wakaisimamia iyo show kwani kitambo tu walikuwa na mvutano wa malezi taarifa ikapelekwa polisi nao wakafanya mahojiano na wanao ishi na bnt kisha wakamtaka bnt aletwe polisi apimwe alivyo pimwa bnt hakuwa na mimba wakaongoa nae ili wapate maelezo kupitia dawati kama alishawai kutoa mimba yote hayo majibu yakawa hana mimba na hajawai kutoa ndupo ikaamuliwa akapimwe kama ni bikra au laa daktari akathibitisha kuwa sio bikra na amesha ingiliwa mara nyingi sana binti akatakuwa amtaje alie mfanyia hivyo akamtaja mtu wake ambae hakuwa nae pamoja kwa zaidi ya miezi miwili maana bnt baada ya kufanya mtihan wa lasaba akaondoka. Swali langu je daktari aliwezaje kujua kuwa huyo bnt ni mzoefu kwa kauli yake kuwa amesha ingiliwa mara nyingi au kuna kipimo maalumu kinacho onyesha hivyo??
 
Hamna kipimo cha kujua bikra HAKIPO HIKO KITU.

ila sometimes hao madaktari wanaathirika na elimu za mitaani.
 
Ni mfano wa mifuko fulani za zamani ya mgongoni, yenyewe mikanda yake ya kunebea ni kamba, alafu mfuko wake, unafunga kwa kamba, iliyoshonewa, ukivuta ile kama umeufunga mfuko.

Sasa kitendo cha kuunga mfuko unstengeneza matinda, ila ile kama ikikatika na mfuko ukawa haufungwi, marinda inakua hamna.
Nimekupa mfano wa marinda yanavyokua.
Aisee hii kitu nimeisikia siku nyingi na sikuwa naielewa
Asante sana
 
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

katika hili naomba unisaidie ufafanuzi mkuu maana huku kutaani kwentu kunamwana anaweza enda jela miaka ya kutosha kutokana na kosa la ubakaji. Ipo hivi kuna bint wa miaka 12 ikavumishwa ana mimba ndugu waupande wakiume wakaisimamia iyo show kwani kitambo tu walikuwa na mvutano wa malezi taarifa ikapelekwa polisi nao wakafanya mahojiano na wanao ishi na bnt kisha wakamtaka bnt aletwe polisi apimwe alivyo pimwa bnt hakuwa na mimba wakaongoa nae ili wapate maelezo kupitia dawati kama alishawai kutoa mimba yote hayo majibu yakawa hana mimba na hajawai kutoa ndupo ikaamuliwa akapimwe kama ni bikra au laa daktari akathibitisha kuwa sio bikra na amesha ingiliwa mara nyingi sana binti akatakuwa amtaje alie mfanyia hivyo akamtaja mtu wake ambae hakuwa nae pamoja kwa zaidi ya miezi miwili maana bnt baada ya kufanya mtihan wa lasaba akaondoka. Swali langu je daktari aliwezaje kujua kuwa huyo bnt ni mzoefu kwa kauli yake kuwa amesha ingiliwa mara nyingi au kuna kipimo maalumu kinacho onyesha hivyo??
Kutoka kwa hemen sio kufanya mapenzi...inawezekana katumia factors zingine labda kuhoji na Nini lakini demu anaweza akafanya na asipasue hamen na anaweza asifanye ikapasuka kwa sababu zisizo za ngono...kwa swala lako kama ni la kisheria na kidaktari Sina full data so siwezi elewa real situation yako..I ain't a lawyer or a doctor.
 
Back
Top Bottom