Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Kuna mengine sijaelewa anual intercose na ana marinda" ndio nini maana yake
Yote kwa yote naona unatetea ushoga ila umeona uambatanishe na bra braa zingine ili watu wasielewe ni kitu gani unataka kuelezea, anyway kiufupi tu ni kwamba bro usihangaike wewe kama ni kufumuliwa fumuliwa tu tena fumu fumu mduku ni wako aibu ni kwako laana ni kwako, sis wengine tunafanya kukuzuia tu kama msaada na kama upendo ila kama utakaidi wewe liwa tu mkuu
Msitari wa pili ndiyo malengo yake km ulivyosema.
 
Nimepita TEMEKE kuna lami .kila hatua wanamkumbuka JPM.
Watu waliamini amekopa sana ila hawahoji kakopa nini bali ametufanyia nini.sasa hivi watu wanahoji hii inayokopwa inajenga nini?

Kafanya maajabu gani? Kila Rais ana jambo lililoacha alama mbona. Mnavyompigia matarumbeta huyo jamaa kana kwamba aliinunua Tanzania ikiwa tupu akaanza kujenga upya. Ujiko wa kisiasa tu
 
Back
Top Bottom