Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Msitari wa pili ndiyo malengo yake km ulivyosema.
 
Nimepita TEMEKE kuna lami .kila hatua wanamkumbuka JPM.
Watu waliamini amekopa sana ila hawahoji kakopa nini bali ametufanyia nini.sasa hivi watu wanahoji hii inayokopwa inajenga nini?

Kafanya maajabu gani? Kila Rais ana jambo lililoacha alama mbona. Mnavyompigia matarumbeta huyo jamaa kana kwamba aliinunua Tanzania ikiwa tupu akaanza kujenga upya. Ujiko wa kisiasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…