SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
-
- #61
Ingia mtandao uulize hayo maswali unayouliza na ufanye research achana na story za mtaani... nimemalizaSpecies 1500 za wanyama wanaopakuana umezijulia wapi? Jamaa hauna research wala nn?
Unachanganya mambo ziaid unakuwa wa hovyo vile vile ,puchu haina madhara hao wanaolalamika wametoka wapi?
Wale wanaopakuliwa mpaka wanapigwa bomba kwani hujui?Hii huduma ipo hospital kibao , wale wanawake wanaongiliww kinyume hujawahi kusikia wakipata tabu wakati wa kujifunguaπ³
Kama unaamini kila kitu ni uongo hata hizo species 1500 za wanyama hazipo uongo.
Kijana wa Tandale hauna point.
Hili mi sijui10. Wanawake huwaga hawazai kwa uchungu ila ni mchongo uliofanywa na wanawake wote duniani kwa lengo la kuwahadaa na kuwafool wanaume ili wapate huruma ya wanaume.
Sawa mkuu una kingine?Huyu ni mpigwa miti.
Hayo sio madhara makubwa wat I meant ni sio Kama wanavyosema sijui haudindi, hauzalishi, cjui upofu cjui uchiziMadhara ni kutomthamini mwanamke kwani unaweza kushusha nyege zako kwa kujichukulia Sheria mkononi
AsanteKwa wanaofikiri nje ya box Kuna kitu kwenye huu uzi
Rudi kwenye fani yako ya mikekaFuatilia research za watu kuhusu hizi mada achana na story za mtaani
Ulete proofUchawi upo
Sio lazma....Kuna watu wapo jela mashuleni wanapiga Puchu bila hizo videoUnakubaliana kwamba wanaopiga punyeto lazima waangalie picha za uchi na video mara nyingi?
Poa poaRudi kwenye fani yako ya mikeka
Kama Kuna uwongo nilioandika hata mmoja uniambie na uje na evidence from research la sivyo unapiga kelele tuMods futeni huu upuuzi. Jamaa anajitangaza kwa kijanja na kututangazia biashara yake humu. π€£π πππ
Be smart my sister. Mtoto wa kike unatakiwa kuwa na sharp brainSikujua umeandika kinyume nyumeβ¦ ππ»ππ»
Kuhusu ukilaza sina uhakika.
Wacha weeeeee. Kuna fact yoyote uliyoiandika na kuifanyia research zaidi hiyo ulivyotatuliwa Marinda?πππππππKama Kuna uwongo nilioandika hata mmoja uniambie na uje na evidence from research la sivyo unapiga kelele tu
Jibu unajitangaza mzee tuje inbox tujaribu kuona kama yaliyopo yapo kweli?Sawa mkuu...ndo maana mnauziwa chupi za upako coz ndo akili zenu zilipoishia
Sawa Master samahani kwa kukuingili katika biashara na starehe zako.Sawa pita tu hauna msaada kwa uzi
Will learn that.Be smart my sister. Mtoto wa kike unatakiwa kuwa na sharp brain
Philanane papa ashawaruhusu wagalatia,acheni kuzungukaNaomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.
1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.
2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.
4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini
5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.
6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.
7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.
8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.
9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.
I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.