Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Kuna mengine sijaelewa anual intercose na ana marinda" ndio nini maana yake
Yote kwa yote naona unatetea ushoga ila umeona uambatanishe na bra braa zingine ili watu wasielewe ni kitu gani unataka kuelezea, anyway kiufupi tu ni kwamba bro usihangaike wewe kama ni kufumuliwa fumuliwa tu tena fumu fumu mduku ni wako aibu ni kwako laana ni kwako, sis wengine tunafanya kukuzuia tu kama msaada na kama upendo ila kama utakaidi wewe liwa tu mkuu
[emoji1787]aliwe kwajinsi unavyosisitiza lazima ataliwa tu!
 
Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Haya ni mawazo yako mkuu. Uko sahihi kabisa lakin kwangu Mimi mengi uliyoongea ni ule mwisho wako wa kufikiri na sio uhalisia. Jaribu tena uwe unasoma vitabu tofauti tofauti na utembee Dunian utajua dunian ni zaid ya uijuavyo.
 
Mkuu Simbampole, Salaam!

Imekuwa ni siku nyingi Tangu uweke Bandiko humu hilo ni kweli kabisa..

Nimeona umeandika Point kadhaa hapo naomba niweke wazi kwamba nakubaliana na wewe Vizuri kabisa kwa Point namba 2,3,5,6,8 na 9..

Na sikubakiliani na wewe kwa Point 1, 4 na 7

  • Point yako ya kwaza kuhusu Takwimu za uwiano,Sijui umetumia Sample space ya nchi gani au Dunia Gani ila nakuhakikishia kuwa Wanaume si wengi kuzidi wanawake..I can justify it kwa Kuchukua sensa Ya Tanzania ya mwaka wowote ule utajua hilo...Na kingine ninafanya kazi sector ya afya Watoto wa Kike wanaozaliwa Tangu 2000s Ni almost 4:1 ratio kwa watoto wa kiume.. na ninaweza kuthibitisha hilo ukitaka kwa kutumia Data za WHO childbirth statitlstics..
  • Point ya pili kuhusu Masterbation..kitu ambacho naamini ni kwamba wewe mwenyew unajua kuwa masterbation Haiko salama hata kidogo kama inavypigiwa chapua...it has some effect on Mental Health.....ambazo nakuwekea hapa chini
    • Interference with Intimate Relationships mtu aliyezoea mastarbation wengi wanashindwa kufanya kazi na wanakosa sexual connection na mpenz wake kwa sababu ashazoea kutumia mikono kwahyo wengi hawadumu kwenye mahusiano..
    • Temporary Erectile dysfunction.. Uliza wengi waliopiga hii mishe wengi watakuwambia lazma waliingia Chumbani na Msichana na Muda mwingine Wanashindwa kufanya chochote kwa sababu mzee hataki kuamka kuafanya shughuli
    • Premature Ejaculation..nafikir haoa sitaki sana kuelezea maana 90% ya wapiga vitu wakikutana na Vitu halisia Brake hazikabi ni dakika tatu tu..
    • Mastarbation ukiifanya sana inakupa Uraibu uraibu huo wa masterbation unasababisha impaired Cognitive function "Yaani unamkuta Mtu yupo yupo tu mara hajipendi" au Ni mtu yaani haimjielewei elewi tu akili yake inasoma mara haisomi ..
    • Ya mwisho kwa sasa ni Behavior change, mood swing, Mtu anakuwa na mihasira hasira isiyoeleweka anakuwa yuko sensentive yote ni kwa sababu ya Hormonal Fluctuation ambayo husababishwa na kuongezeka kwa oxytocin na endorphins, Hormknes kila anapokuwa Anafanya sasa unakuta anafanya mpaka sinakuwa nyingi kwenye blood stream
  • LA mwisho ni kuhusu Anal sex..Dah umenisikitisha sna Umeshindwa kujua Kuwa Kinachofanya anus Ipoteze marinda ni ile Kulegea kwa Sphincter ambako kunasababishwa na pressure kubwa ya Uume unaingia mara kwa mara kwa kutoka ambayo ndo hutanua Zile anal sphincter..
Kama na hili utabisha basi niambie nikupe elimu yote kuhus Micro tear on the anal folds na spincter
Nimekuelewa kwenye masturbating ndio kila kitu kina negative effect lakini sio Kama inavyopigwa vitu...hizo mental health ni true...ila kuhusu premature ejaculation ni uwongo actually inaleta delayed ejaculation ambayo ni mbaya pia kwa sababu unafanya muda mrefu kwa hisia chache pasipo kumwaga hata mwanamke anaona jau na michosho
Kuhusu population nimetumia world population na sio population ya Tanzania Wala kituo chako Cha afya...Tanzania nzima wanawake wamezidi kwa million moja tu na sio hizo ratio ulizoweka hapo sijui 1 kwa nne ni uwongo . Kingine kuhusu anal ni sawa unachosema lakini sio Kama inavyopigwa promo . Kuna boys na girls wanafanya mapenzi ya hivyo safely (lubricants, condoms etc) ambayo unafanya isiwe na madhara as wanavyotishia...mi sifanyi anal Wala sio shoga ila I'm saying kwamba watu wasitishane kisa wao hawapendi
 
Haya ni mawazo yako mkuu. Uko sahihi kabisa lakin kwangu Mimi mengi uliyoongea ni ule mwisho wako wa kufikiri na sio uhalisia. Jaribu tena uwe unasoma vitabu tofauti tofauti na utembee Dunian utajua dunian ni zaid ya uijuavyo.
Sawa mkuu nimekuelewa... lakini vingi ni researched topic najua ni controversial facts katika jamii zetu ila ni reality...uzuri umeelewa
 
Back
Top Bottom