Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Point of addition
😂Huu Uzi ndo umeprove kuwa bongo watu wengi ni wajinga Sana..nimepost nine facts mtu kachukua mbili ambazo sijasema mtu awe shoga au Mimi ni shoga or wat...mmoja nimeongelea position ambayo hata wanawake wanafanya na nyingine nimeongelea wanyama...ila watu hawajaona vyote wameona tu ushoga cjui promotion
Mambo kama haya ndo maana serikali inaweza kuendesha akili zenu...unakumbuka ripoti ya CAG watu wamepiga mahela kibao wakaanza propaganda za kuongelea ushoga kwanzia bungeni, makanisani mpaka misikitini...mnasahau vinavyowahusu, Bei kupanda, umeme hamna maji hamna we upo tu ila mtu Akiwa chumbani akifanya tendo tofauti na Wewe ndo unakuja juu.. 😂jitathmini...nchi zilizoendelea hazina upuuzi kama huu wa kupush propaganda za kijinga coz wananchi Wana akili na sio bendera hufata upepo Kama sisi .. kama kwenye facts zangu umeona ushoga tu bac njoo na rebuttal njoo na hoja zenye evidence na fact kuhusu fact zote 9 ndo ubishani na Mimi...
 
Tupe fakt kwann ni uongo ..tuelezee kdg il 2elewe
Uliza kipi katika ya hivyo 9... nitakujibu nachoweza vingine nitakupa source za mtandaoni ukatafute...kama we ni wale wa "siamini google ila naamini mchungaji/sheikh/mjomba/kijiwe changu" bac hatuwezi saidiana kimaarifa
 
Sawa mkuu nimekuelewa... lakini vingi ni researched topic najua ni controversial facts katika jamii zetu ila ni reality...uzuri umeelewa
Mi katika kusafiri kwangu dunian aisee Mungu yupo. Shida ya Mungu anapatikana kwa yule anaemtafuta sio kwa wale wasio na shida nae. Pili kila kitu unachofanya ukaweka hapo akili zako zote unapata hicho hicho. Akiwazacho mjinga ndicho humtokea.
 
Mi katika kusafiri kwangu dunian aisee Mungu yupo. Shida ya Mungu anapatikana kwa yule anaemtafuta sio kwa wale wasio na shida nae. Pili kila kitu unachofanya ukaweka hapo akili zako zote unapata hicho hicho. Akiwazacho mjinga ndicho humtokea.
Hamna sehemu ambayo nimesema Mungu hayupo kwenye facts zangu 9... nimesema dini zote Zina claim kuwa ni za Mungu lakini ni manmade... so Mungu kuwepo au kutowepo sio part ya mada hio...
 
Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
10. Simba Sc ni mbovu 🤓🤓🤓 hili nalo yanga & co. Ltd wanajidanganya..
 
Back
Top Bottom