Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Kwenye 6 na saba hakika wewe ni mkatoliki
 
Nyingine ni eti Magufuli alikuwa shujaa!
 
Why are you gay?
 
Mkuu wewe ndiye uliyekosa maarifa kwa concept za kufikirika.

Jambo la kwanza ambalo ni #1 ulivyopangilia: wanawake ni wachache kuliko wanaume!

Una uhakika gani ki takwimu?

Maana kila sensa za mataifa mbali mbali duniani pamwe Tz, zinaonesha uwingi wa wanawake katika mataifa hayo kuliko wanaume isipokuwa kwa mataifa machache sana.

Halafu kupiga punyeto hakuna madhara!

Ulishapigaga ama unaendelea kupiga huku ukidindisha sawasawa?

Ph za 'K' za malaya na wanawake 'wa utulie' ziko sawa, una uzoefu kuliko sisi ukathibitisha vinginevyo?

Hayo mangine ya kiimani siwezi kucomment chochote.

Una elimu ndogo sana kushindwa kupambanua jema na baya!

Kuna mambo duniani yapo kimpangilio kwa makusudi maalum kwa namna 'creater' alivyoona inafaa, kwa mfano: idadi ya wanawake kuzidi ya wanaume, kuna mantiki ya kimsingi ya Muumba hapo.

Ebanaee usituchoshe, rudi katafiti upya maana hoja zako nyingi zinaelea, ama rejea shule kabisa.
 
Hamna sehemu ambayo nimesema Mungu hayupo kwenye facts zangu 9... nimesema dini zote Zina claim kuwa ni za Mungu lakini ni manmade... so Mungu kuwepo au kutowepo sio part ya mada hio...
Mungu anafanya kaz na watu ni kama vile uumbaji wa mtoto Mungu anashirikiana na wazazi kumuuamba mtu. Hata hiz dini hazijaja zenyewe ni Roho zinazotenda kaz pamoja nazo. iwe ni Roho wa Mungu au wa shetan ndio zinazoongoza watu kufikia matamanio yao. Hii dunia imeumbwa kuwili ndio mfumo unaoiendesha hii dunia yaan hasi na chanya au kushoto na kulia au kiume na kike. na huu mfumo ukafungwa kwenye mfumo mwingine wa time. Yaan muda ndio maana kila binadamu maswali yake yanacheza Kati ya mwanzo na mwisho zaid ya hapo sote tunakuwa nje ya mfumo hatujui.
 
Mkuu wewe ndiye uliyekosa maarifa kwa concept za kufikirika.

Jambo la kwanza ambalo ni #1 ulivyopangilia: wanawake ni wachache kuliko wanaume!

Una uhakika gani ki takwimu?

Maana kila sensa za mataifa mbali mbali duniani pamwe Tz, zinaonesha uwingi wa wanawake katika mataifa hayo kuliko wanaume isipokuwa kwa mataifa machache sana.

Halafu kupiga punyeto hakuna madhara!

Ulishapigaga ama unaendelea kupiga huku ukidindisha sawasawa?

Ph za 'K' za malaya na wanawake 'wa utulie' ziko sawa, una uzoefu kuliko sisi ukathibitisha vinginevyo?

Hayo mangine ya kiimani siwezi kucomment chochote.

Una elimu ndogo sana kushindwa kupambanua jema na baya!

Kuna mambo duniani yapo kimpangilio kwa makusudi maalum kwa namna 'creater' alivyoona inafaa, kwa mfano: idadi ya wanawake kuzidi ya wanaume, kuna mantiki ya kimsingi ya Muumba hapo.

Ebanaee usituchoshe, rudi katafiti upya maana hoja zako nyingi zinaelea, ama rejea shule kabisa.
Ingia google saa hivi search between men n woman which are more in the world afu ukimaliza search is masturbating harmful... Kama wewe ni wale watu wa kutoamini google ila unaamini pastor/sheikh au kijiwe chako Cha kashata..bac me na wewe hatuwezi ongea lugha moja
 
Mungu anafanya kaz na watu ni kama vile uumbaji wa mtoto Mungu anashirikiana na wazazi kumuuamba mtu. Hata hiz dini hazijaja zenyewe ni Roho zinazotenda kaz pamoja nazo. iwe ni Roho wa Mungu au wa shetan ndio zinazoongoza watu kufikia matamanio yao. Hii dunia imeumbwa kuwili ndio mfumo unaoiendesha hii dunia yaan hasi na chanya au kushoto na kulia au kiume na kike. na huu mfumo ukafungwa kwenye mfumo mwingine wa time. Yaan muda ndio maana kila binadamu maswali yake yanacheza Kati ya mwanzo na mwisho zaid ya hapo sote tunakuwa nje ya mfumo hatujui.
Yote haya hayaprove dini yoyote Ile kuwa sahihi kwa sababu dini zote ni product ya jamii moja kuamka kusema tumetokewa na Mungu au malaika na amesema hivi na wengine kuandika vitabu na kusambaza itikadi zao... na kila dini inampa sifa Mungu wao tofauti na sheria tofauti kutokana na tamaduni zao jamii hiyo...so religion is a product of man..hayo mambo ya dunia imekaaje my answer is I don't know n I don't care.. ila kwenye swala zima la dini inajulikana kabisa ni man made na hata ukisoma bible or Quran open mindedly utajua kabisa kaandika binadamu mwenye limited knowledge n moral standard. Huu Uzi hauhusu dini hata hivyo...Imani ni kitu personal so Baki nacho
 
Back
Top Bottom