Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Wewe ni mpumbavu namba moja tanzania kijana wa hovyo
Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
 
Yote haya hayaprove dini yoyote Ile kuwa sahihi kwa sababu dini zote ni product ya jamii moja kuamka kusema tumetokewa na Mungu au malaika na amesema hivi na wengine kuandika vitabu na kusambaza itikadi zao... na kila dini inampa sifa Mungu wao tofauti na sheria tofauti kutokana na tamaduni zao jamii hiyo...so religion is a product of man..hayo mambo ya dunia imekaaje my answer is I don't know n I don't care.. ila kwenye swala zima la dini inajulikana kabisa ni man made na hata ukisoma bible or Quran open mindedly utajua kabisa kaandika binadamu mwenye limited knowledge n moral standard. Huu Uzi hauhusu dini hata hivyo...Imani ni kitu personal so Baki nacho
Sasa umerudi pale pale. Kwamba hata hayo mawazo yako ni man med pia. Sio uhalisia maana wewe ndio umekuja na hili wazo
 
Lengo lako lilikua kutetea kufirana (ushoga) ila ukaamua kuongeza vitu vingine
 
Point of addition
[emoji23]Huu Uzi ndo umeprove kuwa bongo watu wengi ni wajinga Sana..nimepost nine facts mtu kachukua mbili ambazo sijasema mtu awe shoga au Mimi ni shoga or wat...mmoja nimeongelea position ambayo hata wanawake wanafanya na nyingine nimeongelea wanyama...ila watu hawajaona vyote wameona tu ushoga cjui promotion
Mambo kama haya ndo maana serikali inaweza kuendesha akili zenu...unakumbuka ripoti ya CAG watu wamepiga mahela kibao wakaanza propaganda za kuongelea ushoga kwanzia bungeni, makanisani mpaka misikitini...mnasahau vinavyowahusu, Bei kupanda, umeme hamna maji hamna we upo tu ila mtu Akiwa chumbani akifanya tendo tofauti na Wewe ndo unakuja juu.. [emoji23]jitathmini...nchi zilizoendelea hazina upuuzi kama huu wa kupush propaganda za kijinga coz wananchi Wana akili na sio bendera hufata upepo Kama sisi .. kama kwenye facts zangu umeona ushoga tu bac njoo na rebuttal njoo na hoja zenye evidence na fact kuhusu fact zote 9 ndo ubishani na Mimi...
Wewe ni mjinga ambaye hujaona ujinga wako na waliouona ujinga wako unawaona wao ndio wajinga. Mnatumia nguvu kubwa sana kupush agenda zenu nyeusi kwenye jamii zetu kwa sababu mnajua fika tuna miiko yetu iwe ya kiimani au kiutamaduni isiyokubaliana na agenda zenu nyeusi.

Kwa mamlaka ambayo Mungu amenipa naomba Mungu akulipe unachostahili!
 
Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
99% ya haya uliyosema ni ukweli mtupu na maarifa makubwa sana ambayo vilaza wengi hawawezi kukuelewa.
 
Mkuu Simbampole, Salaam!

Imekuwa ni siku nyingi Tangu uweke Bandiko humu hilo ni kweli kabisa..

Nimeona umeandika Point kadhaa hapo naomba niweke wazi kwamba nakubaliana na wewe Vizuri kabisa kwa Point namba 2,3,5,6,8 na 9..

Na sikubakiliani na wewe kwa Point 1, 4 na 7

  • Point yako ya kwaza kuhusu Takwimu za uwiano,Sijui umetumia Sample space ya nchi gani au Dunia Gani ila nakuhakikishia kuwa Wanaume si wengi kuzidi wanawake..I can justify it kwa Kuchukua sensa Ya Tanzania ya mwaka wowote ule utajua hilo...Na kingine ninafanya kazi sector ya afya Watoto wa Kike wanaozaliwa Tangu 2000s Ni almost 4:1 ratio kwa watoto wa kiume.. na ninaweza kuthibitisha hilo ukitaka kwa kutumia Data za WHO childbirth statitlstics..
  • Point ya pili kuhusu Masterbation..kitu ambacho naamini ni kwamba wewe mwenyew unajua kuwa masterbation Haiko salama hata kidogo kama inavypigiwa chapua...it has some effect on Mental Health.....ambazo nakuwekea hapa chini
    • Interference with Intimate Relationships mtu aliyezoea mastarbation wengi wanashindwa kufanya kazi na wanakosa sexual connection na mpenz wake kwa sababu ashazoea kutumia mikono kwahyo wengi hawadumu kwenye mahusiano..
    • Temporary Erectile dysfunction.. Uliza wengi waliopiga hii mishe wengi watakuwambia lazma waliingia Chumbani na Msichana na Muda mwingine Wanashindwa kufanya chochote kwa sababu mzee hataki kuamka kuafanya shughuli
    • Premature Ejaculation..nafikir haoa sitaki sana kuelezea maana 90% ya wapiga vitu wakikutana na Vitu halisia Brake hazikabi ni dakika tatu tu..
    • Mastarbation ukiifanya sana inakupa Uraibu uraibu huo wa masterbation unasababisha impaired Cognitive function "Yaani unamkuta Mtu yupo yupo tu mara hajipendi" au Ni mtu yaani haimjielewei elewi tu akili yake inasoma mara haisomi ..
    • Ya mwisho kwa sasa ni Behavior change, mood swing, Mtu anakuwa na mihasira hasira isiyoeleweka anakuwa yuko sensentive yote ni kwa sababu ya Hormonal Fluctuation ambayo husababishwa na kuongezeka kwa oxytocin na endorphins, Hormknes kila anapokuwa Anafanya sasa unakuta anafanya mpaka sinakuwa nyingi kwenye blood stream
  • LA mwisho ni kuhusu Anal sex..Dah umenisikitisha sna Umeshindwa kujua Kuwa Kinachofanya anus Ipoteze marinda ni ile Kulegea kwa Sphincter ambako kunasababishwa na pressure kubwa ya Uume unaingia mara kwa mara kwa kutoka ambayo ndo hutanua Zile anal sphincter..
Kama na hili utabisha basi niambie nikupe elimu yote kuhus Micro tear on the anal folds na spincter
1. Ratio ya wanaume na wanawake duniani iko karibia sawa, hili haliitaji ubishi. Chukua hata sensa ya nchi iliyofanyika mwaka jana. Unapofanyia kazi sio uwakilishi wa kisayansi wa Tanzania nzima, kuna sehemu nyingine pia watoto wa kiume wanazaliwa kwa ratio kubwa kuliko wale wa kike.

2. Mengine uliyoandika kuhusu masturbation ni pseudoscience zaidi kuliko science halisi.
 
Mkuu wewe ndiye uliyekosa maarifa kwa concept za kufikirika.

Jambo la kwanza ambalo ni #1 ulivyopangilia: wanawake ni wachache kuliko wanaume!

Una uhakika gani ki takwimu?

Maana kila sensa za mataifa mbali mbali duniani pamwe Tz, zinaonesha uwingi wa wanawake katika mataifa hayo kuliko wanaume isipokuwa kwa mataifa machache sana.

Halafu kupiga punyeto hakuna madhara!

Ulishapigaga ama unaendelea kupiga huku ukidindisha sawasawa?

Ph za 'K' za malaya na wanawake 'wa utulie' ziko sawa, una uzoefu kuliko sisi ukathibitisha vinginevyo?

Hayo mangine ya kiimani siwezi kucomment chochote.

Una elimu ndogo sana kushindwa kupambanua jema na baya!

Kuna mambo duniani yapo kimpangilio kwa makusudi maalum kwa namna 'creater' alivyoona inafaa, kwa mfano: idadi ya wanawake kuzidi ya wanaume, kuna mantiki ya kimsingi ya Muumba hapo.

Ebanaee usituchoshe, rudi katafiti upya maana hoja zako nyingi zinaelea, ama rejea shule kabisa.
Tanzania wanawake ni million 31, wanaume ni millioni 30. Kidunia wanaume ni wengi zaidi ya wanawake, wanaume wako 51% wanawake wako 49%.
 
Wewe ni mjinga ambaye hujaona ujinga wako na waliouona ujinga wako unawaona wao ndio wajinga. Mnatumia nguvu kubwa sana kupush agenda zenu nyeusi kwenye jamii zetu kwa sababu mnajua fika tuna miiko yetu iwe ya kiimani au kiutamaduni isiyokubaliana na agenda zenu nyeusi.

Kwa mamlaka ambayo Mungu amenipa naomba Mungu akulipe unachostahili!
Kama umeona ushoga tu kwenye post nzima yenye point 9 bac we ndo mwinyi ufinyu wa akili na siwezi kuwa na rational conversation na wewe
 
1. Ratio ya wanaume na wanawake duniani iko karibia sawa, hili haliitaji ubishi. Chukua hata sensa ya nchi iliyofanyika mwaka jana. Unapofanyia kazi sio uwakilishi wa kisayansi wa Tanzania nzima, kuna sehemu nyingine pia watoto wa kiume wanazaliwa kwa ratio kubwa kuliko wale wa kike.

2. Mengine uliyoandika kuhusu masturbation ni pseudoscience zaidi kuliko science halisi.
Mi sijabishana nae coz vingi kaongea ukweli na sio ushabiki na vingine ni kukosa data sahihi tu
 
Back
Top Bottom