SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
- #41
š Kama una hoja ya kupinga sema coz nimefungua Uzi for discussionwewe ni mmoja kati ya vijana wa hovyo wa hapa duniani. nonsense!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š Kama una hoja ya kupinga sema coz nimefungua Uzi for discussionwewe ni mmoja kati ya vijana wa hovyo wa hapa duniani. nonsense!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Unatakaje?Jiweke wazi acha kuzunguka
Natoa maarifa kwa wabongo ambao wameaminishwa ujinga na propagandaUmelipwa shingapi? Kutangaza hivi
Uko sahihiNaomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.
1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.
2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.
4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini
5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.
6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.
7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.
8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.
9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.
I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
š Asante mwanangu wa kataa ndoakamata Ceres Zabibu hapo Nakuja lipa chap
ššKwa wanaofikiri nje ya box Kuna kitu kwenye huu uzi
Acha kutishia watu kuhusu kitu ambacho Kiko scientific...hizo shuhuda ni propaganda...hamna mwanaume ambae hapigi Puchu...anayesema hivyo ni uongo tu...kingine wanaume hao hao ndo wanatembeza shoo Kali tu... hamna relationship ya ushoga na Puchu ushoga ni sexual orientation na Puchu ni sexual activity...Kama unabisha fanya research uachane na story za vijiwe vya kahawaQueen,
hii ni mitandao tu usichukulie vitu seriously.
Back in days abby chams alikuwa na kipindi cha talkwith abby chams mara nyingi walikuwa wanakutana vijana wanashare stori zao na mambo wanayopitia ungekua unasikiliza vijana wengi stori zao ungeelewa kwanini puchu ni hatari.
Ok kwenye discord kuna group nipo huwa wapo wataalamu wa masuala ya afya akili members wanashare stories wanazopitia na wengi ni vijana miaka 15-27 testimony nyingi ni masturbation wengine wakiangukia kwenye ushoga, kushindwa kufocus kwenye mambo muhimu hususani ya kujenga future zao hata social anxiety.
Masturbation ni hatari hasa kwa kijana anayeanza kujitafuta, wengi humu wanafanya tu kufurahisha watu.
Umejuaje kama ni uongo?Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.
1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.
2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.
4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini
5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.
6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.
7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.
8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.
9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.
I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Endelea kuskiaNasikia harufu ya kenyesi kwenye Hili bandiko
NamshangaaYaa upige punyeto Hadi uwe punga hiyo punyeto unajitia vidole makalioni au ?
Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.
1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.
2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.
4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini
5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.
6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.
7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.
8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.
9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.
I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Thank uNamba 6 ni kweli! Nishawahi ona majogoo mawili yanapandana
1.(a).Explain [20%]Hiyo namba mbili ni kweli kabisa mkuu, based on experience
Ukitaka kafanye research una simu una internet una mda uliza maswali Kuna Wikipedia Kuna site za afya kibao Kuna AI tafuta ukweli achana na story za vijiweniKwanini tukuamini wewe?
Kisa vimadini na wanyama na mlima au siošUko sahihi
Wabongo walishamezeshwa kwamba Tzn ni Tajiri sana Afrika šš
Fuatilia research za watu kuhusu hizi mada achana na story za mtaaniUmejuaje kama ni uongo?
Kama umeona ushoga tu kwenye post nzima bac ni shida zako hizo Sina msaada kazi yangu kutoa maarifawewe umekuja kupigia kampeni ushoga huna jipyaaa..
š Msiingizane mikono tuKumbe hata ukifumuliwa Kinyeo marinda hayatoki.
Asante dokta. Wacha nikafumuane.
Queen,