MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

Katika Mambo haya Hakuna yametofautiana kutokana na Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi.

1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA:



2__ MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA:

3__ MWANAMUME ANAHITAJI MUDA WA KUKAA KIMYA; USIMLAZIMISHE KUONGEA:

4__ MWANAMUME HAPENDI MKE MWENYE KIHERE-HERE:

5__ MWANAMUME HAPENDI MKE WAKE AWE NA MARAFIKI WEEENGIII; KIBAYA ZAIDI SANA ETI NI MARAFIKI WA KIUME: Wanaume wengi wana WIVU; (NA HIYO NI ASILI YAO)

6__ MWANAMUME HAPENDI KUNYANYASIKA:

Wanaume semeni kama ni uongo☺️
 
Mwanamke kama hauna utii achana kabisa na kitu inaitwa ndoa utaachika tu.
Hakuna aibu mbaya ya kuachika kuliko ya kutoolewa.
Kutoolewa sio dhambi kwa mujibu wa maandiko.
 
Kweli,kweli jamaa ni jembe tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…