Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Hapaana sio laana ukitaka naweza kukuletea Kwenye lugha halisia ya kihebrew ukaangalia inamaanisha nini zaidi
 
Hakuna kiumbe wa kumpa mungu laana maana kwenye spiritual rank as a soul or Uni mind yeye ndo top, nafsi saba za uwezo anazo yeye kitu ambazo ni kikubwa kuliko yeye ni neno lake mwenyewe
Unajua kuwa juu Ya Yahwe na Elohim kuna walio Juu yake..
 
And thats the simulation what am talking about the Circle of Samsara, the Reincarnation , call it Bhavachakra ila kwangu mimi naiita simulation..

SO swali who own the Authentification of the simulation...?
 
Mkuu tupe maneno Yesu pia ni Lucifer, hapo hapo nimeshikilia mwaga mchele
Lucifer=Nyota ya Asubuhi=Venus=Light Bringer

Yesu =Nyota ya Asubuhi =Venus = light bringer

Archangel (Baadhi ya malaika wakuu) =Nyota za Asubuhi...

Lucifer kama Samael au Shetani mnavyoita..

Hapa hasa ndo Walipoanzia kujikita kwenye hilo jina...
Na maneno hayo yalianza kuonekana mwaka 405 AD kwenye Tafsiri ya Biblia ya Lugha ya latin au Latin vulgate baada ya Papa Damasus wa 1 ,Kumwambia Jorome atafsiri na ndiyo ilikuwa Tafsiri ya kwanza Standard ya kilatin...

Isaya 14:12
Latin vulgate origins..


"quomodo cecidisti de caelo Lucifer qui mane oriebaris corruisti in terram qui vulnerabas gentes."

Kwa kiswahili chetu cha mama samia

"Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni,
Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi!
Jinsi ulivyokatwa kabisa,
Ewe uliyewaangusha mataifa!"

Kwa Kingereza cha Anko Charles


"How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!"

Najua Wengi mnafahamu kuhusu huu upande wa Isaya naomba niwaletee upande mwingine wa Lucifer..

Yesu mwenyewe Na Confirm kwamba yeye ni Nyota ya asubuhi..

Ufunuo wa Yohana 22:16
"Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi.

"I Jesus have sent mine angel to testify unto you these things in the churches. I am the root and the offspring of David, and the bright and morning star"

Hold on bado Pia ameahidi kwamba kwa wale watakaofata anachoamuru na wao watapewa uwezo wa kuwa Nyota ya asubuhi (Lucifer- Kwa kilatin)

Ufunuo wa Yohana 2:28


"Nami nitampa ile nyota ya asubuhi."
"And I will give him the morning star"



Tight up your seat belt ,PopCorn and Buckle up bado naendelea..

Unakumbuka mwanzoni nilisema pia kuna group la malaika au viumbe walioko mbinguni ndo linaitwa morning stars (Lucifers)

Ayubu 38:7


"Hapo nyota za asubuhi zilipoimba pamoja,
Na wana wote wa Mungu walipopiga kelele kwa furaha?"

"When the morning stars sang together, and all the sons of God shouted for joy?"

Sasa ilikuaje zikaacha kuimba pamoja Sasa hapo ndo nakusihi urejee kwenye Isaya 14:12 kwamba kuna Mmoja aliasi Ndo huyo mnamuita.. shetani..

Sasa Yesu aliahidi kwenye ufunuo 2:28 kutoa nyota ya Asubuhi (Lucifer) kwa watu watakaomwamini Je mtume petro kipenzi Cha pili cha Yesu akitoka Yohana na Maria magdalena anasemaje kuhusu hilo..
Na nitaweka na Vulagate kabisa ili maana halisi ionekane

2 Petro 1:19


"Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu."

"We have also a more sure word of prophecy; whereunto ye do well that ye take heed, as unto a light that shineth in a dark place, until the day dawn, and the Morning star arise in your hearts:"


In Latin Vulgate..405 AD bible..2 petro 1:19

"Et habemus firmiorem propheticum sermonem cui bene facitis adtendentes quasi lucernae lucenti in caliginoso loco donec dies inlucescat et lucifer oriatur in cordibus vestris."...

CC: Fallback Waterbender kazi mlionipa nimemaliza
 
Andiko Zuri sana kwa hio hapo Jesus = Lucifer kwa zote 100 %?

Na vipi kuhusu Simba namaanisha Simba km Simba wa Yuda ni nani Jesus or Lucifer star of the morning, au ndio kitu kimoja hicho hicho kwenye Sura mbili tofauti?
 
Like how? Tell us which experience have yo

Ras Simba typical English bruh andika kiswahili tu
Unajiona uko unafikir kwa Akili yak kumbe ni external influences zimekuchonga ila hujion kwa kuwa ni Self righteous idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…