SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Sawa...tunapishana uwezo wa kudadisi mamboKijujuu utaona hivyo.......lakini si kitu cha kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...tunapishana uwezo wa kudadisi mamboKijujuu utaona hivyo.......lakini si kitu cha kawaida
Mkuu hii swali ni pana sana Na Ni swali ambalo hata ukiandika Majibu Yanaweza kuchukua Page 400s kuelezea Kwa sababu maaelezo yake ni kitabu kabisa..Andiko Zuri sana kwa hio hapo Jesus = Lucifer kwa zote 100 %?
Na vipi kuhusu Simba namaanisha Simba km Simba wa Yuda ni nani Jesus or Lucifer star of the morning, au ndio kitu kimoja hicho hicho kwenye Sura mbili tofauti?
Nimeshaweka Mkuu..Weka tu
Unaelewa chanzo Cha kuandikiwa hayo yote ambayo ww unazidi kuyaeleza Tena Kwa namna ileile ya awali ?According to Bible maneno au Neno ni roho na Kama roho ni mbaya bhasi jua alitamkiwa laana ambayo ilitumika Kama Adhabu same applies kwa Daudi ambaye baada ya kuwahesabu Watu alijua kua amefanya kosa aka repent ( Badili mawazo kurudi ktk original state )
Darkness inasimama upande wa laana/ adhabu.
Hujakosea but nilipitia kwa pande zote mbiliI bet you learnt from Affirmative of the negative side 🤣🤣
Zile powerful societies kama Jesuits na Illuminati, na powerful clans kama akina Rockefeller na Rothschild, huwa wana siri nyingi kuhusu hii dunia na namna inavyoendaYeah hiyo nilisikia Ila kitu ambacho najiulizaga who runs it ..nani anaeamua yote haya ambayo hata marais hawaruhisiwi
Mkuu amini kwamba mimi ni mtu ambaye Nakuelewa sana..Hujakosea but nilipitia kwa pande zote mbili
Kuna training za kurekebisha imani pole pole kwa kujihusisha na Mazingira magumu Kila siku
Kama uliamini Kuna kitu kinaitwa mateso Sisi kule twaiita experience
Msemo ulokuwa unatumika " Njia ya Mungu,Dhaabu kwenye Moto Mkali "
Nilitoka nikiwa mtu tofauti kabisa.
Both of you mna intent moja but kuamua kuwa against unatoka na kunilebo nipo slow, it's funnyUnaelewa chanzo Cha kuandikiwa hayo yote ambayo ww unazidi kuyaeleza Tena Kwa namna ileile ya awali ?
Sitak kuendelea kubishana naww ila nimegundua Kuna baadhi ya maeneo unaelewa taratbu sana.
Ajenda ilikuwa hivi kama sorce ya mabaya na mema ni moja Kuna possibility Shetani & Mungu kikawa ni kitu kimoja kinaamua tu nifanye nn wakati huu, kikifanya baya tunakiita shetani na kikifanya mema tunakiita Mungu
Au Kuna mahali popote ww unajua shetani anafanyaga mema.?
Kama jibu lako ni No kwanini Mungu yeye anatoa mema na mabaya haliyakuwa yeye sio shetani?
Huoni kama kinaweza kikawa ni kitu kimoja ndio maana ulipewa mfano wa kisu pale juu na mleta Uzi Ili uone kisu kina matumizi mabaya na mazuri.
Yeah mkuu Na wao ndo wanarithishana Siri hizo Japo hata wewe unaweza ukaingia na ukapewa siri hizo japo huwezi kuzitoa hata ufanyaje maana kabla hujazitoa watu wameshajua kuwa kesho utazitoa..Zile powerful societies kama Jesuits na Illuminati, na powerful clans kama akina Rockefeller na Rothschild, huwa wana siri nyingi kuhusu hii dunia na namna inavyoenda
Usiache kuweka Mambo Kama haya chief Mana mada za Wanawake ndio watu utawakuta wamejaa hukoMkuu amini kwamba mimi ni mtu ambaye Nakuelewa sana..
Mind clearing from brainwashed..
In the Journey ni kitu ambacho kila mtu lazma afanye..
Upande uliopo nauelewa sana ...
Ninajua kuhusu Experience pia..
Na naamini unachosema 100%
Na ni lazima tuwe watumwa ili hata mafanikio unayotaka uweze kuyafikia, pasipo kuwa mtumwa huwezi kuwa bwana wa mtumwa!.The financial system has enslaved our species and now we are being used as slaves of money.
Kwa kuongezea sikiliza wimbo wa Dizasta Vina unaitwa freedomYou will have your freedom but you won't take take it...hivi ndivyo Dunia ilivyo, ukifikiri juu juu unaweza kudhani una uhuru huo unaoufikiria au kuimbwa Kila Kona ya Dunia lakini ukifikiri vizuri utagundua kuwa hakuna huo uhuru na Wala usijisumbue kutafuta huo uhuru just live your life, usitafute unywele mdogo gizani kwani huwezi upata.
hii kali mno ngoja tuoneFunguka Waterbender ameshabeba kopo lake la popcorn anakusiliza twende kazi shusha nondo
Wakina nani hao?Unajua kuwa juu Ya Yahwe na Elohim kuna walio Juu yake..
trumpet ya mti!!? labda pembe ya funoKuna paka halafu kuna ule mti wa Trumpet
BC years Lucifer alikuwa mungu wa duniaSeriously Acha hizo bhna ..
Eli means High God elifu,elohimAkasome angeology and demonology vyote viko aligned in the same line kikubwa ni kwamba Hayo wanaoambiwa ni viumbe sio actually viumbe ni Nguvu..
Mfano Michael..
Mikael (mika-el)
Gabriel (Gabri -El) means Nguvu ya Mungu Gabor vs El