Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Andiko Zuri sana kwa hio hapo Jesus = Lucifer kwa zote 100 %?

Na vipi kuhusu Simba namaanisha Simba km Simba wa Yuda ni nani Jesus or Lucifer star of the morning, au ndio kitu kimoja hicho hicho kwenye Sura mbili tofauti?
Mkuu hii swali ni pana sana Na Ni swali ambalo hata ukiandika Majibu Yanaweza kuchukua Page 400s kuelezea Kwa sababu maaelezo yake ni kitabu kabisa..

Maana linahusisha mpaka Astrology na numerological literacy Na Pia kwa wale watu wa Theology watahusisha Judeo-Christian Metaphor na symbolism...
Ni wide sana kulielewa kwa mara Moja its All been metaphor since then na sio Literal kwamba kuna simba Wakaitwa hayo majina...

kwa kifupi

Najua unakoQuote ni hapa..

Kwa yesu kama Simba..

Ufunuo wa Yohana 5:5

"Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba."

Kwa Shetani kama Simba..

1 Petro 5:8

Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.

Kabla sijakujibu nataka kukuchanganya zaidi na Gospel of thomas verse 7

Gospel of Thomas Verse 7🙁Injili ya Thomas aya ya 7)

"Jesus said, 'Blessed is the lion which becomes man when consumed by man; and cursed is the man whom the lion consumes, and the lion becomes man.'"

Sijui umenielewa?

Tuanze na Theological part ambayo ni simple kuidigest..

in biblical symbolism na metaphor. Kwenye Christian theology, kama nilivyoonyesha hapo kuwa Yesu katoka katoka kabila la yuda, so This symbolism comes from Biblia agano la kale Ambalo linamtaja Yuda kama Simba au Mwana simba (Mwanzo 49:9).

Kwahiyo simba anachorwa symbolically kimaana, Kwa kuonyesha strength, majesty, and kingship.

kwahyo Kumuita Yesu Simba kunaonyesha his royal and powerful nature.

Na shetani pia Ni simba kwa kigezo hicho hicho.

kama unakumbuka alipombeba yesu na kumuonyesha Falme zote za Duniani na kumwambia atampa..
Means ni zake pia...

na hiyo ndo context ya Judeo-Christian tradition.

Sasa Majibu upande wa astrological and numerological aspects kwa kifupi sana

Lion= Symbolysed by Leo
Which ruled By Sun (Jua)..(+1,-4)
Numerologically lion ruled by Number 1 (Positive +1)..
And number 4 (Negative Character -4)
Kwa watu wa Numerology mpaka hapa tayri.

Wameshanielewa tena sana..

Namba 4 (-4) ni number of dealth japo +4 ni namba ya birth..

Japo kwa ujumla namba 4 ni namba ya Dealth and Rebirth...

Hapo umenielewa?

Kwahyo The consuming Lion take -4
And the Lion of Juda take +1

Sasa kabla hatujaendelea unajua kwanini Yesu ametoka katika ukoo wa Yuda na anajiita Simba wa Yuda na Cha ajabu jina la mwanafunzi wake Yuda ndiyo aliemsaliti?

Yuda ni mtoto wa nne kuzaliwa kwa Yakobo..
Namba nne which symblolise Dealth and rebirth..

That means ili something crucial to be born it must follow the rules of number..

Turudi kwenye Simba sasa..

Kwahyo wote ni Moto elementary (Ruled by Fire)

Kibiblia..

Unakumbuka hapa..

Amosi 2:5

"Lakini nitapeleka moto juu ya Yuda, nao utayateketeza majumba ya Yerusalemu."

Ilitimia hapa..

Luka 12:49

"Nimekuja kutupa moto duniani; na ukiwa umekwisha washwa, ni nini nitakalo zaidi? "

Ufunuo wa Yohana 19:12

"Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe."

Ufunuo wa Yohana 2:18

"Na kwa malaika wa kanisa lililoko Thiatira andika; Haya ndiyo anenayo Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho yake kama mwali wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana.;"

Waebrania 12:29

"maana Mungu wetu ni moto ulao."

Vipi kuhusu shetani?

Ezekieli 28:14

"Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na huko kati ya mawe ya moto."

Au umesahau aliumbwa kwa moto...

Waebrania 1:7

"Na kwa habari za malaika asema,
Afanyaye malaika wake kuwa pepo,
Na watumishi wake (Cherub) kuwa miali ya moto."

Sasa nina imani umepata Those two sides by the way namba 1 huwa ni namba ya Utawala ila namba nne hasi ni namba ya Adversary (Yaani Kupinga au kinyume )..

Kuna mengi sana ya kuongea kuhusu Haya mambo lakini Ni Magumu sana kuyapokea..
So conclusiom ni kwamba hapo kilikuwa kimazungumziwa Two Duality With the same Power Which can be traped a person..
Rejea Gospel of thomas Aya ya 7

Na ndo maana unaona wote wako katika Same Signs ambayo ni sun na ndo nyota yenye nguvu..
 
According to Bible maneno au Neno ni roho na Kama roho ni mbaya bhasi jua alitamkiwa laana ambayo ilitumika Kama Adhabu same applies kwa Daudi ambaye baada ya kuwahesabu Watu alijua kua amefanya kosa aka repent ( Badili mawazo kurudi ktk original state )
Darkness inasimama upande wa laana/ adhabu.
Unaelewa chanzo Cha kuandikiwa hayo yote ambayo ww unazidi kuyaeleza Tena Kwa namna ileile ya awali ?

Sitak kuendelea kubishana naww ila nimegundua Kuna baadhi ya maeneo unaelewa taratbu sana.

Ajenda ilikuwa hivi kama sorce ya mabaya na mema ni moja Kuna possibility Shetani & Mungu kikawa ni kitu kimoja kinaamua tu nifanye nn wakati huu, kikifanya baya tunakiita shetani na kikifanya mema tunakiita Mungu

Au Kuna mahali popote ww unajua shetani anafanyaga mema.?

Kama jibu lako ni No kwanini Mungu yeye anatoa mema na mabaya haliyakuwa yeye sio shetani?

Huoni kama kinaweza kikawa ni kitu kimoja ndio maana ulipewa mfano wa kisu pale juu na mleta Uzi Ili uone kisu kina matumizi mabaya na mazuri.
 
I bet you learnt from Affirmative of the negative side 🤣🤣
Hujakosea but nilipitia kwa pande zote mbili
Kuna training za kurekebisha imani pole pole kwa kujihusisha na Mazingira magumu Kila siku

Kama uliamini Kuna kitu kinaitwa mateso Sisi kule twaiita experience
Msemo ulokuwa unatumika " Njia ya Mungu,Dhaabu kwenye Moto Mkali "

Nilitoka nikiwa mtu tofauti kabisa.
 
Yeah hiyo nilisikia Ila kitu ambacho najiulizaga who runs it ..nani anaeamua yote haya ambayo hata marais hawaruhisiwi
Zile powerful societies kama Jesuits na Illuminati, na powerful clans kama akina Rockefeller na Rothschild, huwa wana siri nyingi kuhusu hii dunia na namna inavyoenda
 
Hujakosea but nilipitia kwa pande zote mbili
Kuna training za kurekebisha imani pole pole kwa kujihusisha na Mazingira magumu Kila siku

Kama uliamini Kuna kitu kinaitwa mateso Sisi kule twaiita experience
Msemo ulokuwa unatumika " Njia ya Mungu,Dhaabu kwenye Moto Mkali "

Nilitoka nikiwa mtu tofauti kabisa.
Mkuu amini kwamba mimi ni mtu ambaye Nakuelewa sana..

Mind clearing from brainwashed..
In the Journey ni kitu ambacho kila mtu lazma afanye..

Upande uliopo nauelewa sana ...
Ninajua kuhusu Experience pia..
Na naamini unachosema 100%
 
Unaelewa chanzo Cha kuandikiwa hayo yote ambayo ww unazidi kuyaeleza Tena Kwa namna ileile ya awali ?

Sitak kuendelea kubishana naww ila nimegundua Kuna baadhi ya maeneo unaelewa taratbu sana.

Ajenda ilikuwa hivi kama sorce ya mabaya na mema ni moja Kuna possibility Shetani & Mungu kikawa ni kitu kimoja kinaamua tu nifanye nn wakati huu, kikifanya baya tunakiita shetani na kikifanya mema tunakiita Mungu

Au Kuna mahali popote ww unajua shetani anafanyaga mema.?

Kama jibu lako ni No kwanini Mungu yeye anatoa mema na mabaya haliyakuwa yeye sio shetani?

Huoni kama kinaweza kikawa ni kitu kimoja ndio maana ulipewa mfano wa kisu pale juu na mleta Uzi Ili uone kisu kina matumizi mabaya na mazuri.
Both of you mna intent moja but kuamua kuwa against unatoka na kunilebo nipo slow, it's funny
Kama ukiweza yaweza katika muktadha wa Moral Evil na Natural evil ...unatolea mfano kisu ambacho hakina intent Wala purpose kikibaki chenyewe.

Unaita Mabaya Mimi naita acts zake za kudestroy hope yako kuelekea kukengeuka na zipo wazi hafichi kwa sura ya uzuri ila nyuma yake ni Jambo baya, yeye kaweka wazi na ndio sababu haikifichwa hata kwenye bible
No manipulation
 
Zile powerful societies kama Jesuits na Illuminati, na powerful clans kama akina Rockefeller na Rothschild, huwa wana siri nyingi kuhusu hii dunia na namna inavyoenda
Yeah mkuu Na wao ndo wanarithishana Siri hizo Japo hata wewe unaweza ukaingia na ukapewa siri hizo japo huwezi kuzitoa hata ufanyaje maana kabla hujazitoa watu wameshajua kuwa kesho utazitoa..
Si unajua How the universal Works its start from the higher dimension towards Low dimension ambayo ndo ya kwetu 3D dimension
 
Mkuu amini kwamba mimi ni mtu ambaye Nakuelewa sana..

Mind clearing from brainwashed..
In the Journey ni kitu ambacho kila mtu lazma afanye..

Upande uliopo nauelewa sana ...
Ninajua kuhusu Experience pia..
Na naamini unachosema 100%
Usiache kuweka Mambo Kama haya chief Mana mada za Wanawake ndio watu utawakuta wamejaa huko
Usiache Boss
 
Wale walioomba vitabu..
Ninatimiza ahadi..
Vile nilivyoQuote ,Na vingine..
Vitabu pdf vilivyopo..
  • ANUNAKI Vyote nilivyotaja
  • Sophie words "Who are You" "where are from" cha Jostern Gaarder
  • African mythology cha Patricia Lynch
  • Secret of Knight Templar "The hidden History of the World's Most Powerfull order" cha S.J HODGE
  • GOD Dellusion cha Richard Dawking (kuna summary yake na OG)
  • POWER VS FORCE AN ANATOMY OF CONSCIOUSNESS "The Hidden Determinants of Human Behavior" Cha David R. Hawkins
  • BOOK OF SECRET WISDOM cha zinovia
  • The Holy Blood and the Holy Grail chs Michael Baigent
  • The laughing Jesus and Religion lies cha Timothy Freke
  • The Lost symbol cha Dan brown
  • The secret History of the World
Na vingine ..

CC:walioomba..

Waterbender Blender Joe Navarro
Fallback
 
Attachments

You will have your freedom but you won't take take it...hivi ndivyo Dunia ilivyo, ukifikiri juu juu unaweza kudhani una uhuru huo unaoufikiria au kuimbwa Kila Kona ya Dunia lakini ukifikiri vizuri utagundua kuwa hakuna huo uhuru na Wala usijisumbue kutafuta huo uhuru just live your life, usitafute unywele mdogo gizani kwani huwezi upata.
 
Kwa kuongezea sikiliza wimbo wa Dizasta Vina unaitwa freedom
 
Akasome angeology and demonology vyote viko aligned in the same line kikubwa ni kwamba Hayo wanaoambiwa ni viumbe sio actually viumbe ni Nguvu..
Mfano Michael..
Mikael (mika-el)
Gabriel (Gabri -El) means Nguvu ya Mungu Gabor vs El
Eli means High God elifu,elohim
Majina yao halisi ni gabri Elohim(messenger),micha Elohim,(Amor of God)Rapha Elohim(Healer)uri Elohim
 
Back
Top Bottom