Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Sawa haya twende huku nini maana ya 40? Death and rebirth? Yaan 4 imetoka kwenye 4+0=4
 
Interesting...
 
Mkuu unajua kuwa hata Yesu pia ni lucifer..
Kwanza nianze hapo
zitto junior Rabbon
 
Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni,
Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi!
Jinsi ulivyokatwa kabisa,
Ewe uliyewaangusha mataifa!"

Ufunuo wa Yohana 22:16
"Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi.
Hayo maneno hapo juu ni neno moja ?

Nyota ya alfajiri mwana wa asubuhi = nyota yenye kung'aa ya asubuhi ?..... haya maneno ni sawa kweli ?

Hebu tuwekee kwa lugha nyingine.

Isa 14:12 How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! [how] art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!

Rev 22:16 I Jesus have sent mine angel to testify unto you these things in the churches. I am the root and the offspring of David, [and] the bright and morning star.

Lucifer ni mwana wa asubuhi Ila Kristo ni nyota yenye kung'aa ya asubuhi hapo Kuna tofauti kubwa kati yao.

Nadhani lugha ndio tatizo hapa.
 
Hayo ni mafundisho ya Illuminati,

Lucifer lilikuwa Jina la Malaika wa Nuru mkuu kabla ya kuasi, saizi hakuna kitu kama hicho,

Baada ya kuasi hapo hapo akaota pembe na mkia wa mbuzi, anaitwa Shetani, baba wa uongo, muuaji, Jizi, nknk, Hana ukuu wowote mnywa Damu huyo.

Mwandishi wa thread alikuwa Mchungaji, baadae akaasi na kujiunga wa wanaopindisha juu chini maandiko Kwa faida ya baba Yao shetani.

Shikilia sana ulichonacho, asije mtu akakunyanganya.

Alichoandika hapo ni " Mafundisho ya Mashetani" Kuna thread nimeandika inasomeka, "Mafundisho ya Mashetani"- Rabbon.

Anachofanya shetani, anakupa andiko, la Kweli, Kisha anaongeza na uongo, na kufafanua Kwa kupotosha Kwa faida zake.

Ni muhimu kusoma BIBLIA yote, ukaimaliza na KURUDIA Ili ujazwe neno Ili likusaidie kujua Hila za shetani.

UBARIKIWE.
 
Sawa haya twende huku nini maana ya 40? Death and rebirth? Yaan 4 imetoka kwenye 4+0=4
HUjawahi kusikia Mungu anataja vitu kwa namba 3, 7 na 10 (10=1)..(Hizi namba ni katika kuonyesha ukuu wake...Kama msemavyo utatu mtakatifu, Kuumba kwa siku 7 ,Makanisa 7 na vitu vingi saba,saba...na Mapigo 10 etc)

Na awapo na Hasira au akitaka kumfanya mtu kuwa Bora Hutumia Namba 4..

Kama ulivyoichambua Hapo 40 =4+0=4
Uko sawa na uko sawa kuhusu Dealth and rebirth..

Sasa maana halisi ni nini?

Namba 4 in acts kama Foundation ya kila kitu..
Maana yake huwezi kujenga nyumba bila msingi..
Na pia huwezi kuanza kufanya Jambo lolote bila kuanza na foundation yake..

So namba 4 ni foundation ya Everything..

Thats why its called dealth and rebirth, ili uweze kufa lazma uzaliwe kwanza na ili uweze kuzaliwa upya lazma baadhi ya vitu vife kwako..

Lets say unataka kununua Gari zuri Vxr Lakini unamatumizi mabovu lazma uue tabia ya matumizi hayo mabovu ili upate gari yako..

Sasa lets back on Bible matter...

Sasa tukienda kwenye Lugha ya Kihebrania Nne huitwa Arba (אַרְבָּעָה) lakini kwenye kuandikwa kama tunavyoandika 4 wao wanaandika "ד" (dalet).

Si unajua kuwa Dalet ni Herufi ya nne kwa kiebrania..

Sasa Waebrania hawana Romani au Italic Letter na Dalet hupresent namba nne toka zaman..
Lakini Dalet licha ya kumaanisha nne ina maanisha Door (Mlango)..

so the foundation has a door to Enter or Exit..
Na ndo maana Unaona muda mwingi kwenye hayo majaribu waliyokuwa wakipewa hao niliowataja walikuwa na uhuru wakucancel mission au Kuendelea..

So namba 4 present the stable foundation which should be Earned by Very hard ways and pain..
Which can bring you through transition and transformation through dalet itself the door into stability..
So emphasise the solid faoundation into the stability through The door..

Kama una swali karibu
 
Toa pongezi na credit Kwa yule dada wa Instagram...umecopy kila kitu.
 
mkuu Rabbon..
Huoni kama wewe ndo unapotisha hakuna mahali
Kuna sehemu shetani aliota mkia Wa mbuzi 🤣🤣🤣..
Labda kama ulikuwa ni utani nitachukulia hivyo..
Nionyeshe sehemu nilipopindisha ili nijifunze mkuu..

Na kingine malaika walioasi wote walifungwa kwa mujibu wa Yuda hao mashetani wanatoka wapi..

YUDA 1:6

"Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu."
 
Ndivyo wanavyofanya illuminati, unapewa neno lililopinduliwa Ili kudanganya.

Majina yote mazuri ni ya Yesu, ndiye Mungu,

Ikiwa zipo nyota zenye kung'aa, basi yenye kung'aa kuliko zote ni Yesu,

Mama jusi waliiona nyota ambayo haijawahi onekana tangu Kuumbwa Ulimwengu, na wakati huo shetani akiwa kuzimu,

Sasa iweje Yesu awe huyo?

Yesu Anaitwa Mfalme wa Amani, Baba wa Milele, Mfalme wa Wafalme,Mungu mwenye nguvu.
 
Toa pongezi na credit Kwa yule dada wa Instagram...umecopy kila kitu.
Dada yupi mkuu ili nitoe Pongezi maana Kiukweli hii ni Historia na ipo kila sehemu naweza nikaandika historia kuhusu nyerere lakini kuna watu kibao wanaweza wakaadika pia..

So ni history ambayp ipo kila mahali kuhus LINCOLN NA JFK
nipe jina nimpe credit mkuu mimi sio mchoyo
 
Duuuh, ila ni ngumu sana kutumia case study moja kufia kwenye conclusion
 
Nikikumbuka ntamuandika ...nimeomba hii zaidi ya mara3
..sijashika jina la page yake.
 
Mkuu Nimeweka lugha zaidi ya moja hapo
Neno lucifer linamaanisha morning star kama umesoma Kilatin utakuwa unanielewa zaidi..
Na mara Nyingi wanaiita Venus kama morning star kwa sababu huonekana Asubuhi..

NAfikir nimeweka lugha zote unaweza ukasoma mpaka mwisho hata kwenye petro pia
 
Ningependa zaidi kama tutafanya mjadala kuhusu hilo tufanye mjadala wa kisomi..
Unaouwezo wa kupinga itakavyo..

Kwa sababu sio lazma tufanane upande..
Hata hilo neno lenyewe ilumminate sijui kama unajua hata maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…