Ntakupa vichache kavisome:-
- Tafuta God Dillusion cha Richard Dawkins
- In God we doubt cha John Humphrys
- Misquoting Jesus "The story behind who change the bible and why" cha Bart Ehrman
- Soma Agnosticism cha Robin Le Poidevin..
- Letter to christian nation cha sam harris
Soma the
epic of gilgamesh (Hii ili uonee kuwa hata Vitu vingi kwenye biblia kama stories wametoa humu ns kilikuwepo kabla hata ya Musa)
Na kuhusu Anunaki I recomend soma
Anunaki series books vya Maximillien de Lafayette
Kama (
The Anunnaki and Ulema-Anunnaki the Vault of Forbidden Knowledge and the Universe’s Greatest Secrets kitabu cha tatu na pia Kingine ni
learn To speak anunaki)
ila the best Kuhusu Anunaki soma hiki cha gerald clack "
THE ANUNAKI OF NIBIRU "
the man kind forgoten creater "
Hiki ni kizuri kina story yote Kuanzia walivyokuja Jwenye hii sayari miaka 6000 iliyopita wakaumba mtu n.k..
Mkuu viko vingi sana ila hivyo kwa leo..
Maana vitabu its almost Miaka saba nasomaga hivi vitabu mwanzoni vilikuwa vinanipa doubt sana ila kadri navyosoma ndo vilinifungua kuwa napata reasoning ya vitu..
nakuongeea..
Book of the dead (Humu kuna Amri kumi za mungu Ambazo ziliandikwa miaka kibao kabla ya Musa kuzaliwa)
Emerald Tablets..
Cc:-
passion_amo1