Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Ahsanteee sanaa na ubarikiwee, [emoji120][emoji120]
 
Mkuu nakubaliana na weww kabisa..
But vyote hivyo ni symbolic..
Na vina maana yake..
Serpent ana maana yake
Na why Bronze serpent ntaelezea ukihitaji
 
Pandisha PDF zake au taja vitabu tusome, wengine tunapenda kusoma ..hatuna limitations kwenye kusoma.
 
Library Genesis
Hawa nadhani ni zaidi ya PDF DRIVE
 
Library Genesis

Ni mara chache sana nimekosa kitabu ninachokihitaji kwa hawa jamaa hapo juu 👆🏽👆🏽👆🏽
Bookmark that link, utanishukuru baadae!!!
 
Tupe na ya Yesu nayo maana kuna wadau wanasema simulation yake yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa Ila yeye mwenyewe alijichanganya na umati akaingia mitini ili kuikwepa misumali

We fala kweli kweli[emoji38][emoji38][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Ni coincidence to za kawaida bro chill
Do you call it a normal coincidence bro? Zingekuwa aspects 3 sawa lakini in all aspects na maisha yao yote kuanzia kuzaliwa mpaka maisha ya siasa mpaka vifo vyao. This awakes something in me seriously
 
Mkuu kwanini usingetudadavilia kidogo hizo issue zinahusu nini binafsi nikiingia huko niwe na picha kamili?
 
Shukran mkuu Kweli unamfatilia Yule mwana
a CONFESSION
of a MAD PHILOSOPHER

MAANA YA UHURU,HUISHA BAADA YA UTAMBUZI,
BAADA YA KUTAMBUA,KWAMBA UHURU SI MAAMUZI,
MAANA KIFUNGO NA MIPAKA VINAFANANA,
ALIYEKUAMBIA KUNA UHURU, UTAUPATA KAKUDANGANYA,

IPO ASILI INAYOFANYA,MWILI WAKO MASHINE,
KUFANYA UGONJWA UWE JELA, ALAFU AFYA NI JELA NYINGINE,

MJAMAA AMEMWAGA DAMU TAYARI,
AwE HURU ILI AKAWE, MTUMWA KWA MABEPARI
CHAGUA KUFA UKIONA WAJA, HAWALIPI WEMA,
KUFA WOKOVU KILICHOKUFA HAKIFI TENА,
KUFA NI UHURU KAMILI TABU NI NINI?
HAUPO HURU SASA

UHURU WA KWELI NI KABURINI

UÑAKUMBATIA UHURU
WA KUAMBIWA

WAKATI UNAISHI
NA HAUKUCHAGUA KUZALIWA

UHURU HAUTAFUTWI
MSAFIRI, PUMZIKA KUBALI
CHАI

HAUWEZI KUWA HURU
UNGALI HAI

UHURU SI HALISI JAMAA
BADILI UMBO

UHURU SIOJIBU HATA
USIKARIRI FUMBO

UHURU NI FALSAFA
YA VITABU, ILIANDIKWA
NA MABABU

TUTAISOMA NA MWISHO ITABAKI HUKO

ANAYE HITAJI UHURU
AELEWE..

KUOGOPA KUFA NI UTUMWA
KWA MAANA KUFA

NDIO UHURU WENYEWE

HATA UWE MFALME AMBAYE
ANATOA IDHINI

HUWEZI KUWA HURU
UHURU WA KWELI NI KABURINI

××××××××××××××××××

UKIKUMBATIA MWANGA
JUA UTAIFICHA NURU

UHURU SI KWA MWAFRIKA
KUMKIMBIZA MKABURU

KUUTAKA UHURU SANAJAMAA
SI DALILI NJEMA

KA' UPO HAI NA
UNAHISI UKO HURU
FIKIRI TENA

CHEO HULETA NURU
PAHALA NURU HAIPITI

NA PESA NDIO NJIA
YA UHURU UKIIMILIKI

PESA NA CHEO HUPITA
КОТE HAКUINGIIKI

ALISEMA MLEVI MMOJA
AMBAYE POMBE TU
IMEMDHIBITIІ

MWATHIRIKA AMBAYE DAWa
ZA KULEVYA ZIMEMFUNGA

NA ANAHISI YUKO HURU
MARA BAADA TU YA KUVUTA

LABDA SI KWELI
HAUPO HURU UKIJIONGEZA

MAANA UKISHAUJUA UHURU
TAYARI USHAUPOTEZA

JE UTANIONA CHIZI AU MWIVI
AMA MSHENZI AU PUMBAVU
NINAYEONGEA VITUKO

AU UTAAMUA KUKAA
CHINI UTAFAKARI
KISHA UKAKUBALI

NDOA, AJIRA
NAVYO PIA VIFUNGO

ALIYE HURU NI NANI
NIELEZE

MTOTO ANAYEENDA
KWА VIBOKO?

AU MLOKOLE MTENDA MEMA
BAADA YA KUTISHIWA MOTO

AU MSOMI AMBAYE ELIMU
МРАКА СНUО КІНАКІКІ
I SWEAR...

KAMA UHURU NDIO HUO
SIUAFIKI

ANAYEHISI YUKO HURU
PITA MBELE

PIGA KELELE

HATA MUNGU WAKO
BADO HAYUKO HURU

HAWEZI KUBADILI MIPANGO

HAWEZI KUMUUMBA
MUNGU MWINGINE

MKUBWA KUPITA YEYE

UNAYETAFUTA UHURU
WA KWELI UTATESEKA

UTAPOTEZA DAMU

UTATOA MACHOZI
NA UTAKESHA

HAUWEZI KUUPATA
MAANA HAKUNA ULIPOUWEKA

UHURU HAUPATIKANI KWA
FEDHA

UHURU IS PRICELESS

KWAKUWA SI BIDHAA
HALISI

WENYE CHAPAA WALIHAKIKI

UTANIANGUSHA SANA
UKISHINDWA KUAMINI

UPO UHURU ILA
UHURU WA KWELI
NI KABURINI


Your browser is not able to display this video.
 
Do you call it a normal coincidence bro? Zingekuwa aspects 3 sawa lakini in all aspects na maisha yao yote kuanzia kuzaliwa mpaka maisha ya siasa mpaka vifo vyao. This awakes something in me seriously
Sawa...we amini unachoamini...ila ni coincidence...zinatokea in everyone's lyf...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…