Swali zuri. Nilivyosoma tu mada ndilo swali lililokuja kichwani....Sasa Raia Wawili wa Marekani kati ya Watu Bilioni Zaidi ya SABA Matumio Yao yakifanana ndio Kitu Cha Ajabu ???...
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Huyu Dogo anaandika Sana na Mimi Ni shabiki yake pia.a CONFESSION
of a MAD PHILOSOPHER
MAANA YA UHURU,HUISHA BAADA YA UTAMBUZI,
BAADA YA KUTAMBUA,KWAMBA UHURU SI MAAMUZI,
MAANA KIFUNGO NA MIPAKA VINAFANANA,
ALIYEKUAMBIA KUNA UHURU, UTAUPATA KAKUDANGANYA,
IPO ASILI INAYOFANYA,MWILI WAKO MASHINE,
KUFANYA UGONJWA UWE JELA, ALAFU AFYA NI JELA NYINGINE,
MJAMAA AMEMWAGA DAMU TAYARI,
AwE HURU ILI AKAWE, MTUMWA KWA MABEPARI
CHAGUA KUFA UKIONA WAJA, HAWALIPI WEMA,
KUFA WOKOVU KILICHOKUFA HAKIFI TENА,
KUFA NI UHURU KAMILI TABU NI NINI?
HAUPO HURU SASA
UHURU WA KWELI NI KABURINI
UÑAKUMBATIA UHURU
WA KUAMBIWA
WAKATI UNAISHI
NA HAUKUCHAGUA KUZALIWA
UHURU HAUTAFUTWI
MSAFIRI, PUMZIKA KUBALI
CHАI
HAUWEZI KUWA HURU
UNGALI HAI
UHURU SI HALISI JAMAA
BADILI UMBO
UHURU SIOJIBU HATA
USIKARIRI FUMBO
UHURU NI FALSAFA
YA VITABU, ILIANDIKWA
NA MABABU
TUTAISOMA NA MWISHO ITABAKI HUKO
ANAYE HITAJI UHURU
AELEWE..
KUOGOPA KUFA NI UTUMWA
KWA MAANA KUFA
NDIO UHURU WENYEWE
HATA UWE MFALME AMBAYE
ANATOA IDHINI
HUWEZI KUWA HURU
UHURU WA KWELI NI KABURINI
××××××××××××××××××
UKIKUMBATIA MWANGA
JUA UTAIFICHA NURU
UHURU SI KWA MWAFRIKA
KUMKIMBIZA MKABURU
KUUTAKA UHURU SANAJAMAA
SI DALILI NJEMA
KA' UPO HAI NA
UNAHISI UKO HURU
FIKIRI TENA
CHEO HULETA NURU
PAHALA NURU HAIPITI
NA PESA NDIO NJIA
YA UHURU UKIIMILIKI
PESA NA CHEO HUPITA
КОТE HAКUINGIIKI
ALISEMA MLEVI MMOJA
AMBAYE POMBE TU
IMEMDHIBITIІ
MWATHIRIKA AMBAYE DAWa
ZA KULEVYA ZIMEMFUNGA
NA ANAHISI YUKO HURU
MARA BAADA TU YA KUVUTA
LABDA SI KWELI
HAUPO HURU UKIJIONGEZA
MAANA UKISHAUJUA UHURU
TAYARI USHAUPOTEZA
JE UTANIONA CHIZI AU MWIVI
AMA MSHENZI AU PUMBAVU
NINAYEONGEA VITUKO
AU UTAAMUA KUKAA
CHINI UTAFAKARI
KISHA UKAKUBALI
NDOA, AJIRA
NAVYO PIA VIFUNGO
ALIYE HURU NI NANI
NIELEZE
MTOTO ANAYEENDA
KWА VIBOKO?
AU MLOKOLE MTENDA MEMA
BAADA YA KUTISHIWA MOTO
AU MSOMI AMBAYE ELIMU
МРАКА СНUО КІНАКІКІ
I SWEAR...
KAMA UHURU NDIO HUO
SIUAFIKI
ANAYEHISI YUKO HURU
PITA MBELE
PIGA KELELE
HATA MUNGU WAKO
BADO HAYUKO HURU
HAWEZI KUBADILI MIPANGO
HAWEZI KUMUUMBA
MUNGU MWINGINE
MKUBWA KUPITA YEYE
UNAYETAFUTA UHURU
WA KWELI UTATESEKA
UTAPOTEZA DAMU
UTATOA MACHOZI
NA UTAKESHA
HAUWEZI KUUPATA
MAANA HAKUNA ULIPOUWEKA
UHURU HAUPATIKANI KWA
FEDHA
UHURU IS PRICELESS
KWAKUWA SI BIDHAA
HALISI
WENYE CHAPAA WALIHAKIKI
UTANIANGUSHA SANA
UKISHINDWA KUAMINI
UPO UHURU ILA
UHURU WA KWELI
NI KABURINI
View attachment 2855237
HIli nimelijibu kuwa kitu kinachowapa upekee ni kwamba hawakuwa Raia wa kawaida tu walikuwa Ni Marais wa MarekaniSwali zuri. Nilivyosoma tu mada ndilo swali lililokuja kichwani.
Namkubali sana jmaa Kuna moja mpya katoa Haina wiki nyingi sana inaitwa wachezaji wa TimuHuyu Dogo anaandika Sana na Mimi Ni shabiki yake pia.
Ameandika na kuviongea vitu fikirishi Sana Dizasta Vina
Anza kwenye Nyumba Ndogo.Namkubali sana jmaa Kuna moja mpya katoa Haina wiki nyingi sana inaitwa wachezaji wa Timu
huyu jamaa ni Narrative Lyrical God..Nimeanza kumsikiliza Tangu 2021 na sijajuta kumjua Ni philisophical Brain
Hiyo naifahamu namjua kitambo sana huyu jamaa tangu enzi Za mwanajua ,Ndoa ndoano, wimbo usio bora,Masculine feminine na zingine kibao..Anza kwenye Nyumba Ndogo.
Hongera msomi kumbe marekani ina watu 7B?...Sasa Raia Wawili wa Marekani kati ya Watu Bilioni Zaidi ya SABA Matumio Yao yakifanana ndio Kitu Cha Ajabu ???...
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona unapinga jumla jumla bila kujishughulisha na mjadala husika?Ndivyo wanavyofanya illuminati, unapewa neno lililopinduliwa Ili kudanganya.
Majina yote mazuri ni ya Yesu, ndiye Mungu,
Ikiwa zipo nyota zenye kung'aa, basi yenye kung'aa kuliko zote ni Yesu,
Mama jusi waliiona nyota ambayo haijawahi onekana tangu Kuumbwa Ulimwengu, na wakati huo shetani akiwa kuzimu,
Sasa iweje Yesu awe huyo?
Yesu Anaitwa Mfalme wa Amani, Baba wa Milele, Mfalme wa Wafalme,Mungu mwenye nguvu.
Halafu hiyo ni Idadi ya watu Dunia Nzima! 😀😀Hongera msomi kumbe marekani ina watu 7B?
Watu mna siri sana.
Unamsemea simon mkrene wwTupe na ya Yesu nayo maana kuna wadau wanasema simulation yake yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa Ila yeye mwenyewe alijichanganya na umati akaingia mitini ili kuikwepa misumali
Kuna movie inaitwa "The lost symbol" Kaitafute ni fupi sio ndefu sana
Dr uko very deep, natamani sana kujua vzr haya mambo unaweza kunisaidia pa kuanzia 🙏Mkuu hii swali ni pana sana Na Ni swali ambalo hata ukiandika Majibu Yanaweza kuchukua Page 400s kuelezea Kwa sababu maaelezo yake ni kitabu kabisa..
Maana linahusisha mpaka Astrology na numerological literacy Na Pia kwa wale watu wa Theology watahusisha Judeo-Christian Metaphor na symbolism...
Ni wide sana kulielewa kwa mara Moja its All been metaphor since then na sio Literal kwamba kuna simba Wakaitwa hayo majina...
kwa kifupi
Najua unakoQuote ni hapa..
Kwa yesu kama Simba..
Ufunuo wa Yohana 5:5
"Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba."
Kwa Shetani kama Simba..
1 Petro 5:8
Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.
Kabla sijakujibu nataka kukuchanganya zaidi na Gospel of thomas verse 7
Gospel of Thomas Verse 7🙁Injili ya Thomas aya ya 7)
"Jesus said, 'Blessed is the lion which becomes man when consumed by man; and cursed is the man whom the lion consumes, and the lion becomes man.'"
Sijui umenielewa?
Tuanze na Theological part ambayo ni simple kuidigest..
in biblical symbolism na metaphor. Kwenye Christian theology, kama nilivyoonyesha hapo kuwa Yesu katoka katoka kabila la yuda, so This symbolism comes from Biblia agano la kale Ambalo linamtaja Yuda kama Simba au Mwana simba (Mwanzo 49:9).
Kwahiyo simba anachorwa symbolically kimaana, Kwa kuonyesha strength, majesty, and kingship.
kwahyo Kumuita Yesu Simba kunaonyesha his royal and powerful nature.
Na shetani pia Ni simba kwa kigezo hicho hicho.
kama unakumbuka alipombeba yesu na kumuonyesha Falme zote za Duniani na kumwambia atampa..
Means ni zake pia...
na hiyo ndo context ya Judeo-Christian tradition.
Sasa Majibu upande wa astrological and numerological aspects kwa kifupi sana
Lion= Symbolysed by Leo
Which ruled By Sun (Jua)..(+1,-4)
Numerologically lion ruled by Number 1 (Positive +1)..
And number 4 (Negative Character -4)
Kwa watu wa Numerology mpaka hapa tayri.
Wameshanielewa tena sana..
Namba 4 (-4) ni number of dealth japo +4 ni namba ya birth..
Japo kwa ujumla namba 4 ni namba ya Dealth and Rebirth...
Hapo umenielewa?
Kwahyo The consuming Lion take -4
And the Lion of Juda take +1
Sasa kabla hatujaendelea unajua kwanini Yesu ametoka katika ukoo wa Yuda na anajiita Simba wa Yuda na Cha ajabu jina la mwanafunzi wake Yuda ndiyo aliemsaliti?
Yuda ni mtoto wa nne kuzaliwa kwa Yakobo..
Namba nne which symblolise Dealth and rebirth..
That means ili something crucial to be born it must follow the rules of number..
Turudi kwenye Simba sasa..
Kwahyo wote ni Moto elementary (Ruled by Fire)
Kibiblia..
Unakumbuka hapa..
Amosi 2:5
"Lakini nitapeleka moto juu ya Yuda, nao utayateketeza majumba ya Yerusalemu."
Ilitimia hapa..
Luka 12:49
"Nimekuja kutupa moto duniani; na ukiwa umekwisha washwa, ni nini nitakalo zaidi? "
Ufunuo wa Yohana 19:12
"Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe."
Ufunuo wa Yohana 2:18
"Na kwa malaika wa kanisa lililoko Thiatira andika; Haya ndiyo anenayo Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho yake kama mwali wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana.;"
Waebrania 12:29
"maana Mungu wetu ni moto ulao."
Vipi kuhusu shetani?
Ezekieli 28:14
"Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na huko kati ya mawe ya moto."
Au umesahau aliumbwa kwa moto...
Waebrania 1:7
"Na kwa habari za malaika asema,
Afanyaye malaika wake kuwa pepo,
Na watumishi wake (Cherub) kuwa miali ya moto."
Sasa nina imani umepata Those two sides by the way namba 1 huwa ni namba ya Utawala ila namba nne hasi ni namba ya Adversary (Yaani Kupinga au kinyume )..
Kuna mengi sana ya kuongea kuhusu Haya mambo lakini Ni Magumu sana kuyapokea..
So conclusiom ni kwamba hapo kilikuwa kimazungumziwa Two Duality With the same Power Which can be traped a person..
Rejea Gospel of thomas Aya ya 7
Na ndo maana unaona wote wako katika Same Signs ambayo ni sun na ndo nyota yenye nguvu..
Kama shetani anaweza Kuwa mungu, unataka kumaanisha mungu ndio shetanishetani anaweza kuwa mungu lakin mungu hawez kuwa shetani
kweni Shetani kaumbwa na nan?Kama shetani anaweza Kuwa mungu, unataka kumaanisha mungu ndio shetani
HIyo Movie inaitwaje mkuu..kweni Shetani kaumbwa na nan?
Alafu evils spirit haziwakilishi giza bali giza ni sehemu tu ya ulimwengu in nature.
True creator of everything hes both dark and light( creation and destruction is perfection or the perfection of the system it is its imperfection(stefano from gaia).
Nilipenda movie ya marvel the Endgame character ya thanos iliwashinda, yale mawe au spirits stones mungu yehova anazo 7
Mungu Yehova ana nafsi saba ukitoa ya yake zinabaki sita maana yake akipoteza moja kati ya nafsi hizo ni shida na hawez kupoteza.
Lucifer kuna kitu anabeba kutoka mbinguni Wajuzi wanaita funguo bali ni code tu, Mungu alikiitaji hicho kwa gharama yoyote so kumtoa mwanae sio kwajili ya watu tu pia na Funguo
Kwa hiyo Lucifer kamuibia mungu kitu chakokweni Shetani kaumbwa na nan?
Alafu evils spirit haziwakilishi giza bali giza ni sehemu tu ya ulimwengu in nature.
True creator of everything hes both dark and light( creation and destruction is perfection or the perfection of the system it is its imperfection(stefano from gaia).
Nilipenda movie ya marvel the Endgame character ya thanos iliwashinda, yale mawe au spirits stones mungu yehova anazo 7
Mungu Yehova ana nafsi saba ukitoa ya yake zinabaki sita maana yake akipoteza moja kati ya nafsi hizo ni shida na hawez kupoteza.
Lucifer kuna kitu anabeba kutoka mbinguni Wajuzi wanaita funguo bali ni code tu, Mungu alikiitaji hicho kwa gharama yoyote so kumtoa mwanae sio kwajili ya watu tu pia na Funguo
kitu changu? uliondoka nafunguo toka mbinguni na kasha pukonywa na kristo miaka mingiKwa hiyo Lucifer kamuibia mungu kitu chako
Nilikuwa namaanisha Lucifer alitoroka na funguo za Mungu, baadaye kabisa yesu akazurudisha .kitu changu? uliondoka nafunguo toka mbinguni na kasha pukonywa na kristo miaka mingi
Inasemekana ni funguo, yani mamlaka ya kuzimu na mauti, sasa wenda kiwakilish chake ni kitu halisi ndo maana kikaitwa funguoNilikuwa namaanisha Lucifer alitoroka na funguo za Mungu, baadaye kabisa yesu akazurudisha .
Hizo funguo ni codes AU ni funguo za kawaida , na hizo funguo Zina Kazi Gani mpaka Lucifer atokomee naz