Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Inasemekana ni funguo, yani mamlaka ya kuzimu na mauti, sasa wenda kiwakilish chake ni kitu halisi ndo maana kikaitwa funguo
Kwa hiyo hivi Sasa funguo ziko Mahali salama?, Isije Tena Lucifer akaziiba , maana Lucifer anaonekana ni mjanja mjanja Sana,
 
Kwa hiyo hivi Sasa funguo ziko Mahali salama?, Isije Tena Lucifer akaziiba , maana Lucifer anaonekana ni mjanja mjanja Sana,
😂😂 na mbinguni lucifer ni staff mda wote anatimba na anabonga na mkula na kawana pembeni.
ayoub
 
😂😂 na mbinguni lucifer ni staff mda wote anatimba na anabonga na mkula na kawana pembeni.
ayoub
Lucifer anatumia company Gani kwenda mbinguni, I mean NASA, cosmos, Blue virgin, space X?
 
Hii pdf drive mbona inafanya Kazi AU , kuna baadhi ya vitabu wamezuia hatuwezi Ku download?
Na vitabu hivyo walivyo vizuia ni vipi ?
 
Hii pdf drive mbona inafanya Kazi AU , kuna baadhi ya vitabu wamezuia hatuwezi Ku download?
Na vitabu hivyo walivyo vizuia ni vipi ?
Haifanyi kazi kabisa hiyo mkuu Siku hizi
 
Kwa miaka 100 kutokea kwa mfanano wa matukio si jambo la kushangaza, kwasababu ni kama imepitia mchujo mpaka kutokea best coincidence zinazofanana. Hata sisi Tanzania basda ya miaka 100 kunaweza kutokea matukio sawa kulingana na uhalisia wa mazingira na utekelezaji wake.
 
Basi itakuwa wamerudisha aisee maana Nimejaribu kwa miaka miwili sasa tangu 2022 ilikuwa haipakui kabisa..

Nb: sofia ni kitabu kizuri sana kwa ajili ya Philosophy Hongera sana Mkuu..
Nimekisoma sana hicho nakuhakikushia MB Zako hazijaenda Bure
CC: Blender
 
Kama wasomaji na wachangiaji wa huu uzi hawajui namna ya kuchimba facts wanaweza kujikuta katikati ya mihemko
 
Okay, kwa hiyo mungu ni mbaguzi?,
Na kwanini matendo ya Lucifer yafanane na ya Mungu?.
🤣🤣🤣
Akikujibu Niambie mkuu!..

Warumi 9:11-13

"kwa maana kabla hawajazaliwa wale watoto, wala hawajatenda neno jema wala baya, ili lisimame kusudi la Mungu la kuchagua, si kwa sababu ya matendo, bali kwa sababu ya nia yake aitaye

aliambiwa hivi, Mkubwa atamtumikia mdogo.

Kama ilivyoandikwa, Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia."

Kamchukia Mtu Tangu akiwa Tumboni 🤣🤣
 
Kuna watu watasema Mungu anajua ya Kesho (future), Je Esau alikuja kumuasi Mungu ? Mpaka ipelekee Mungu amchukie akiwa bado tumboni.

yupi Kati ya yakobo na Esau aliyekuja kumuasi Mungu?.
 
Okay, kwa hiyo mungu ni mbaguzi?,
Na kwanini matendo ya Lucifer yafanane na ya Mungu?.
Kama uumbaji uliishia hapo, hakuna kiumbe bora nawakipekee ajie ubwaa kama lucifer,
Kuhusu ubaguzi, ni swala la uongozi tu kila sehemu muwakilishi ni mmoja tu
 
Kama uumbaji uliishia hapo, hakuna kiumbe bora nawakipekee ajie ubwaa kama lucifer,
Kuhusu ubaguzi, ni swala la uongozi tu kila sehemu muwakilishi ni mmoja tu
Hiki 👆 Nini (nawakipekee ajie ubwaa kama lucifer)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…