Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
About 200 editions....how they Change the bible and Religion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
About 200 editions....how they Change the bible and Religion
Yeah trueAbout 200 editions....
Mkuu kama hizo nondo unazosema ni soft copy nakuomba nitumie nipate vitu vipyaaaMKuu hizi Agnosticism na ignosticism nilijifunza sana na vitabu ninavyo si chini ya 15 na ndo ilinipelekaga kujifunza kuhusu ANUNAKI na pia kuhusu Atheist...
hIi kwa mtu ambaye hayuko tayari kuupokea Ukweli asije akajaribu kugusa kusoma hizo vitu wengi wanachanganyikiwa..
Mkuu Dr mambo jambo nakuomba kama ni soft copy nitumie plzNtakupa vichache kavisome:-
Soma the epic of gilgamesh (Hii ili uonee kuwa hata Vitu vingi kwenye biblia kama stories wametoa humu ns kilikuwepo kabla hata ya Musa)
- Tafuta God Dillusion cha Richard Dawkins
- In God we doubt cha John Humphrys
- Misquoting Jesus "The story behind who change the bible and why" cha Bart Ehrman
- Soma Agnosticism cha Robin Le Poidevin..
- Letter to christian nation cha sam harris
Na kuhusu Anunaki I recomend soma Anunaki series books vya Maximillien de Lafayette
Kama (The Anunnaki and Ulema-Anunnaki the Vault of Forbidden Knowledge and the Universe’s Greatest Secrets kitabu cha tatu na pia Kingine ni learn To speak anunaki)
ila the best Kuhusu Anunaki soma hiki cha gerald clack "THE ANUNAKI OF NIBIRU "the man kind forgoten creater "
Hiki ni kizuri kina story yote Kuanzia walivyokuja Jwenye hii sayari miaka 6000 iliyopita wakaumba mtu n.k..
Mkuu viko vingi sana ila hivyo kwa leo..
Maana vitabu its almost Miaka saba nasomaga hivi vitabu mwanzoni vilikuwa vinanipa doubt sana ila kadri navyosoma ndo vilinifungua kuwa napata reasoning ya vitu..
nakuongeea..
Book of the dead (Humu kuna Amri kumi za mungu Ambazo ziliandikwa miaka kibao kabla ya Musa kuzaliwa)
Emerald Tablets..
Cc:- passion_amo1
Wacha weeeeeeTupe na ya Yesu nayo maana kuna wadau wanasema simulation yake yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa Ila yeye mwenyewe alijichanganya na umati akaingia mitini ili kuikwepa misumali
Unataka kitabu gani viko vingi sanaMkuu Dr mambo jambo nakuomba kama ni soft copy nitumie plz
Kiranga tunaomba maoni yako mkuu! Hii mada inakufaa sana.Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100,
Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi....
Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)
Unaweza ukajiuliza maswali Je matukio hupangwa au Yalijikuta kufanana tu..
Na kama yalipangwa yalipangwa na nani?
Mfanano huo wa baadhi ya majina, matukio yao na mfanano wa miaka ya matukio yao ambayo yamepishana miaka 100 tu ila tarakimu kuwa sawa unatoa picha kuwa huenda we Live on simulation and we either Not have free wills au yalitokea just kwa bahati tu..
shughuli zao kisiasa
- Abrahamu lincoln alichaguliwa kwa mara ya kwanza bungeni mwaka (elected for congress) mwaka 1846,
- Wakati john F kennedy alichaguliwa bungeni (elected in congress) mwaka 1946
- Abrahamu Licncoln alichaguliwa kuwa Rais wa usa mwaka 1860
- Wakati JFK alichaguliwa kuwa Rais mwaka 1960
Katika muda waliokuwepo ofisini
Vifo vyao
- Secretary wa Lincoln aliitwa Kennedy wakati secretary wa Kennedy aliitwa Lincoln.
Mwisho...Kuhusu Hii case ya Surreal ya Lincoln na JKF..
- Marais wote waliuawa siku Ya ijumaa,Na wote walipigwa risasi za kichwa
- Wote waliuawa na Watu kutoka Kusini mwa USA yaani Southern so wote waliuliwa na Southerners
- John booth ambaye anasemekana alimuua Lincoln alizaliwa mwaka 1839 Lee osward ambaye inasemekana alimuua Kennedy alizaliwa mwaka 1939
- Lincoln aliuawa kwenye theater inayoitwa Ford , Na Kennedy aliuliwa kwenye Gari iliyotengenezwa na Ford..
- Limcoln alipopigwa pale theater muuaji alikimbia na kwenda kujificha Warehouse..Ila kennedy aliuliwa kwenye warehouse na muuaji alienda kujificha Kwenye theater.
- Booth (Aliyemuua Lincoln) na oswald (Aliyemuua Kennedy) wote waliuliwa kabla ya kufikishwa mahakamani..
- Wote walifuatiwa na Marais kutoka southern huku wote waliowafatia wakiitwa President Johnson (Sir Johnson's) yaani Andrew Johnson na Lyndon Johnson
- Andrew Johnson aliemfuata Lincoln alizaliwa 1808 na lyndon Johnson aliyemfiata lincoln alizaliwa 1908
- Ni kwamba kabla ya kuuliwa wiki moja kabla Lincoln alikuwa sehemu moja inaitwa Monnroe Maryland ..Huku Na week moja kabla Kennedy kuuliwa alikuwa na mtu anayeiywa Maryland monroe
Kilichofanya akupe hivyo vifungu ni Ili ujue kwann amesema Mungu &Shetani anaweza akawa ni kiumbe mmoja isipokuwa anafanya mambo tofaut kulingana mazingr na ndio maana kaanza na real object eg kisu,Nilichoelewa hapa Ni bkessings for those who obey the order and punishment for those who rebel
#Ruksa kunisahihisha
Nimeaoma passage hii nilichokiongelea kuwa DVD alikengeuka na kujifanyia alichokiona sawa machoni pake
1 Mambo ya Nyakati 21:6-8.
Nilichoelewa hapa roho ( neno ) ambayo ni laana iliyoachiliwa juu yake ndiyo iliyokuwa ikimtesa Huku DVD akibarikiwa na kutengwa ( Annointed )
Ruksa kunipa darasa
AiseeTupe na ya Yesu nayo maana kuna wadau wanasema simulation yake yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa Ila yeye mwenyewe alijichanganya na umati akaingia mitini ili kuikwepa misumali
Why they are dangerous mkuu.these types of people are dangerous to the establishment.
Ukitaka habari za ulimwengu kuonekana kama uko simulated zama kwenye constants of nature huko kwenye strong and weak nuclear force, soma cosmology na cosmogony.Kiranga tunaomba maoni yako mkuu! Hii mada inakufaa sana.
Mkuu unastahili tuzo kwa kujua kueleweshaKilichofanya akupe hivyo vifungu ni Ili ujue kwann amesema Mungu &Shetani anaweza akawa ni kiumbe mmoja isipokuwa anafanya mambo tofaut kulingana mazingr na ndio maana kaanza na real object eg kisu,
Ili iwe rahisi kuelewa kwamba kisu kilekile ila kinafanya vitu viwili vyenye impacts tofaut, na ndio maana baadae akaja kwenye maandiko kuonyesha the same God anafanya vitu viwili tofauti light & Darkness, akaja Tena Kwa Saul from the same sorce inatoka roho njema na roho mbaya .
Naomba niseme shukrani sana hiki kitabu nilikitafuta sana na mara ya mwisho Nilikiona amazon kinauzwa bei ya kutosha..Ukitaka habari za ulimwengu kuonekana kama uko simulated zama kwenye constants of nature juko kwenye strong and weak nuclear force, soma
John D. Barrow katika "The Constants of Nature: From Alpha to Omega - The Numbers That Encode The Deepest Secrets of The Universe"
Martin Rees katika "Just Six Numbers : The Deep Forces That Shape the Universe.
![]()
Just Six Numbers: The Deep Forces that Shape the Universe by Martin Rees – review | Tim Radford | Science Book Club
Tim Radford: The astronomer royal addresses the cosmic coincidence that six numbers in physics are just right for the emergence of galaxies, stars, chemistry and peoplewww.theguardian.com
Soma Nick Bostrom "The Anthropic Bias: Observation Selection Effects in Science and Philosophy"
Anthropic Bias – Complete Text | The Anthropic Principle
anthropic-principle.com
Soma Michael Talbot "The Holographic Universe :The Revolutionary Theory of Reality"
Soma Philip Goff "Why? The Purpose of the Universe"
Kwa sasa nakisoma hiki cha mwisho, kimeelezea vizuri hayo mambo ya simulation in a very deep way.
Jaribu kupitia pia kuna kitab martin rees kaandika kuhus Numerology ni kizuri kuhusu maswala ya Universe probabilityUkitaka habari za ulimwengu kuonekana kama uko simulated zama kwenye constants of nature juko kwenye strong and weak nuclear force, soma
John D. Barrow katika "The Constants of Nature: From Alpha to Omega - The Numbers That Encode The Deepest Secrets of The Universe"
Martin Rees katika "Just Six Numbers : The Deep Forces That Shape the Universe.
![]()
Just Six Numbers: The Deep Forces that Shape the Universe by Martin Rees – review | Tim Radford | Science Book Club
Tim Radford: The astronomer royal addresses the cosmic coincidence that six numbers in physics are just right for the emergence of galaxies, stars, chemistry and peoplewww.theguardian.com
Soma Nick Bostrom "The Anthropic Bias: Observation Selection Effects in Science and Philosophy"
Anthropic Bias – Complete Text | The Anthropic Principle
anthropic-principle.com
Soma Michael Talbot "The Holographic Universe :The Revolutionary Theory of Reality"
Soma Philip Goff "Why? The Purpose of the Universe"
Kwa sasa nakisoma hiki cha mwisho, kimeelezea vizuri hayo mambo ya simulation in a very deep way.
Educated people ask a lot of questions like how, where, when, who, why, to whom?Why they are dangerous mkuu.
Kuna Ile list yakwanza pale juu uliorodhesha naomba yote viko kama nane hiv umecomment pale juu kabla ya huyu uliemtumia vinne hv nishavichukua tayar ila Kuna list pale juu inatitle nzuri nyng naombaUnataka kitabu gani viko vingi sana
Binafsi hii imeshawahi nitokea Ila kwa upande wa mahusiano, Ma Ex wangu takribani wanne wote wamezaliwa tarehe moja na mwaka huo huo mmoja mpaka huwa nikikaa naona kama muujiza hivi lakini ndio ishatokea hivyo.Ni swali ambalo huwa linaniumiza Mpaka leo kuliwaza!
Huwa nakuja kwenye baadhi ya Hypothesis..
Maybe ANUNAKI kama baadhi ya vitabu vinavyosema or Maybe Mungu mwenyewe au maybe Shetani or May some kind of Group...
But kinachoumiza ni kwamba Once you know the Theories and Hypethetical Thought za Simulation Huwa hazina jibu hata ukijaribu kuzipuuza vipi
Nitakitafuta.Jaribu kupitia pia kuna kitab martin rees kaandika kuhus Numerology ni kizuri kuhusu maswala ya Universe probability
* Tafuta God Dillusion cha Richard DawkinsUnataka kitabu gani viko vingi sana
Hahahahaha inabidi ukawaoe wote , maana naona pia wanaweza kufa siku moja wote.Binafsi hii imeshawahi nitokea Ila kwa upande wa mahusiano, Ma Ex wangu takribani wanne wote wamezaliwa tarehe moja na mwaka huo huo mmoja mpaka huwa nikikaa naona kama muujiza hivi lakini ndio ishatokea hivyo.