Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.
The “elite” world requires our children to learn from conformity and thinking from within the box. They don't want our children to think out of the box.
 
Kama ni hv
Je Kuna ukweli wowote waweza kuupata kupitia maandishi ?

Nimeona kwenye pyramids ktk level za juu yupo shetani, Je wewe una Amini Hilo ?
Schools are no longer what they used to be and children are learning to memorize without thinking and obeying without question.

They are creating obedient "robots" who are capable of keeping the system running.

In fact, this established educational system is very expensive to keep operational and obsolete in the internet era. “Why obsolete?” You may ask.

Because the Internet gives us free access to almost infinite amounts of information.
 
Hivi vitabu naweza kupata bure au vya kulipia? Kiingereza changu cha kuungaunga lakini nitajikaza kwerikwrri nisome na kuelewa hata kwa kurudia sentensi mara 10 mpaka nielewe

Free only internet connection needed
 
Free only internet connection needed
Hii haiwezi kufikia Pdfdrive aisee ilikuwa poa sana hakuna kitabu utakosa pale..
Hii inabaki kuwa The Former big library books sahzi unaweza kuviona ila huwezi kuvichukua..
 
MKuu hizi Agnosticism na ignosticism nilijifunza sana na vitabu ninavyo si chini ya 15 na ndo ilinipelekaga kujifunza kuhusu ANUNAKI na pia kuhusu Atheist...

hIi kwa mtu ambaye hayuko tayari kuupokea Ukweli asije akajaribu kugusa kusoma hizo vitu wengi wanachanganyikiwa..
Mkuu nahamu Sana kuijua hii elimu maana kuna vitu huwa navionaga nakuwa kama tayari nilishaviona uku nyuma, kwa mfano linaweza tokea tukio au naona kuna tukio litatokea na ninajua litakavyoaanza mpaka kuisha kwake, mara nyingine nakuwa naongea kitu alafu kinatokea
 
Hii haiwezi kufikia Pdfdrive aisee ilikuwa poa sana hakuna kitabu utakosa pale..
Hii inabaki kuwa The Former big library books sahzi unaweza kuviona ila huwezi kuvichukua..
Alternative ni hio nimeweka link mkuu, yes pdf drive was big library Ila zipo nyingine ingawa hazifikii Ila zina materials nyingi ukiingia hata internet archive

Mkuu nahamu Sana kuijua hii elimu maana kuna vitu huwa navionaga nakuwa kama tayari nilishaviona uku nyuma, kwa mfano linaweza tokea tukio au naona kuna tukio litatokea na ninajua litakavyoaanza mpaka kuisha kwake, mara nyingine nakuwa naongea kitu alafu kinatokea
Unasali Sehemu gani mkuu!
 
Kuna coisedence zingine za ajab sana. Nyumban kwangu napokwenda au kurud toka mihangaikon kuna umbali flan huwa napenda kutembea baada ya kushuka gari kituoni kama nimepanda dala dala

Sasa kuna siku moja ikatokea nikiwa natembea nikapokea simu toka kwa mshkaji wangu Elly, nikwa naongea ghafla nyoka akapita mbele yangu.

Sku nyingine tena nikiwa natembea njia hiyo, nikawa naongea na huyo huyo mshkaji Elly, ghafla tena mbele akapita nyoka.

Siku nyingine tena ikawa hivyo.
(Huyu ni mtu tuna uhusiano wa kikaz so ni obvious kuongea nae mara kwa mara).
Baada ya tukio la mara ya 3 kujirudia, nikaapa sitakaa kumoigia wala kupokea simu ya mshkaji nikiwa natembea maeneo hayo. Ikawa ndio sheria. Nitaongea nae nikiwa popote pemfine ila sio kwwnye hako ka njia. 😂😂
 
Mimi ni Roman Catholics mkuu
Ok sawa ila ukianza kusoma hivi vitu you will be no longer Roman catholic I promice 😆😆..
Ntaanza kukuPM vitabu

Anza na hivi kwanza ili ufikie hivyo vingine
  • MISQUOTING JESUS
  • How Jesus become God
  • From Yahwe to zion
  • Jesus Before Gospel
KWa sababu vyote ndo vilianza huku unatakiwa kujua kwanza kuhus Huku ilivyoanza kuwaaminisha watu kuhusu Dini baadae kuingia utawalani..

Ukimaliza hivyo nishtue nikupe kuhusu Hiyo Agnostics na Ignostics pamoja na hizo another deities

Cc: captain sparrow
 
Attachments

Kuna coisedence zingine za ajab sana. Nyumban kwangu napokwenda au kurud toka mihangaikon kuna umbali flan huwa napenda kutembea baada ya kushuka gari kituoni kama nimepanda dala dala

Sasa kuna siku moja ikatokea nikiwa natembea nikapokea simu toka kwa mshkaji wangu Elly, nikwa naongea ghafla nyoka akapita mbele yangu.

Sku nyingine tena nikiwa natembea njia hiyo, nikawa naongea na huyo huyo mshkaji Elly, ghafla tena mbele akapita nyoka.

Siku nyingine tena ikawa hivyo.
(Huyu ni mtu tuna uhusiano wa kikaz so ni obvious kuongea nae mara kwa mara).
Baada ya tukio la mara ya 3 kujirudia, nikaapa sitakaa kumoigia wala kupokea simu ya mshkaji nikiwa natembea maeneo hayo. Ikawa ndio sheria. Nitaongea nae nikiwa popote pemfine ila sio kwwnye hako ka njia. 😂😂
uoga wako tu mkuu Sometimes the universe try to teach us some lesson
 
Mpe vitabu usimnyime Ila awe tayari kujinyima usingizi asome aelewe,
NImemuwekea kwanza vya kuhusu how they Change the bible and Religion baadae ataapata vingine..

Kuhusu history and other stuff..
Anatakiwa aanze kutambaa kwanza kabla ya kuanza kukimbia
 
NImemuwekea kwanza vya kuhusu how they Change the bible and Religion baadae ataapata vingine..

Kuhusu history and other stuff..
Anatakiwa aanze kutambaa kwanza kabla ya kuanza kukimbia
Asome kwa kutulia alafu akirudi arudi akiwa ameshiba vizuri hayo maandishi,
 
Back
Top Bottom