Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Kuna Ile list yakwanza pale juu uliorodhesha naomba yote viko kama nane hiv umecomment pale juu kabla ya huyu uliemtumia vinne hv nishavichukua tayar ila Kuna list pale juu inatitle nzuri nyng naomba
Ntaituma na kuna list hapo juu katuna Kiranga pia icheck
 
Hahahahaha inabidi ukawaoe wote , maana naona pia wanaweza kufa siku moja wote.
Nimeshaachana nao halafu sasa kigezo chao cha kuachana nao ni vile wanahisi labda naweza nisiwaoe au kuwapotezea muda kwani wote hao wanne wamenipita umri sawa wa miaka mitatu, so wanaona watakuja kuchoka then ntakula Kona kwani wanaume hatuzeeki haraka, hivyo nikishagundua hilo napiga chini nachukua Mali nyingine Safi naendelea kula ngozi, japo kishingo upande inauma Ila haina jinsi, kwani mtoto wakiume hutakiwi kuteswa na mapenzi.
 
Kuna Ile list yakwanza pale juu uliorodhesha naomba yote viko kama nane hiv umecomment pale juu kabla ya huyu uliemtumia vinne hv nishavichukua tayar ila Kuna list pale juu inatitle nzuri nyng naomba
Uvisome kweli ungeanza na hivyo vinne kwanza, mpaka asubuhi uwe umevimaliza vyote
 
Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100,
Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi....

Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)

Unaweza ukajiuliza maswali Je matukio hupangwa au Yalijikuta kufanana tu..
Na kama yalipangwa yalipangwa na nani?

Mfanano huo wa baadhi ya majina, matukio yao na mfanano wa miaka ya matukio yao ambayo yamepishana miaka 100 tu ila tarakimu kuwa sawa unatoa picha kuwa huenda we Live on simulation and we either Not have free wills au yalitokea just kwa bahati tu..

shughuli zao kisiasa

  • Abrahamu lincoln alichaguliwa kwa mara ya kwanza bungeni mwaka (elected for congress) mwaka 1846,
  • Wakati john F kennedy alichaguliwa bungeni (elected in congress) mwaka 1946
  • Abrahamu Licncoln alichaguliwa kuwa Rais wa usa mwaka 1860
  • Wakati JFK alichaguliwa kuwa Rais mwaka 1960

Katika muda waliokuwepo ofisini
  • Secretary wa Lincoln aliitwa Kennedy wakati secretary wa Kennedy aliitwa Lincoln.
Vifo vyao

  • Marais wote waliuawa siku Ya ijumaa,Na wote walipigwa risasi za kichwa
  • Wote waliuawa na Watu kutoka Kusini mwa USA yaani Southern so wote waliuliwa na Southerners
  • John booth ambaye anasemekana alimuua Lincoln alizaliwa mwaka 1839 Lee osward ambaye inasemekana alimuua Kennedy alizaliwa mwaka 1939
  • Lincoln aliuawa kwenye theater inayoitwa Ford , Na Kennedy aliuliwa kwenye Gari iliyotengenezwa na Ford..
  • Limcoln alipopigwa pale theater muuaji alikimbia na kwenda kujificha Warehouse..Ila kennedy aliuliwa kwenye warehouse na muuaji alienda kujificha Kwenye theater.
  • Booth (Aliyemuua Lincoln) na oswald (Aliyemuua Kennedy) wote waliuliwa kabla ya kufikishwa mahakamani..
  • Wote walifuatiwa na Marais kutoka southern huku wote waliowafatia wakiitwa President Johnson (Sir Johnson's) yaani Andrew Johnson na Lyndon Johnson
  • Andrew Johnson aliemfuata Lincoln alizaliwa 1808 na lyndon Johnson aliyemfiata lincoln alizaliwa 1908
Mwisho...Kuhusu Hii case ya Surreal ya Lincoln na JKF..

  • Ni kwamba kabla ya kuuliwa wiki moja kabla Lincoln alikuwa sehemu moja inaitwa Monnroe Maryland ..Huku Na week moja kabla Kennedy kuuliwa alikuwa na mtu anayeiywa Maryland monroe
Sawa elezea na masogange kuzaliwa na kufa siku moja kama Avicii

Hizi ni coincidences tu ambao elimu yake inataka kufanana na unajimu sababu kila roho ni energy, hii energy inavyotransform kutoka kwenye aina iliopo na kuja kuwa mtu inaacha gaps na hio gaps ndizo zinakuja kuwezesha uhusiano kati ya hio roho na mambo kadhaa. Somo refu sana hili
 
MKuu hizi Agnosticism na ignosticism nilijifunza sana na vitabu ninavyo si chini ya 15 na ndo ilinipelekaga kujifunza kuhusu ANUNAKI na pia kuhusu Atheist...

hIi kwa mtu ambaye hayuko tayari kuupokea Ukweli asije akajaribu kugusa kusoma hizo vitu wengi wanachanganyikiwa..
Mkuu ukipata Muda naomba PDF
 
Huyu ya pili alitengenezwa ili auwawe kama wa kwanza, wauaji walitengenezwa na kila kitu kilisukwa, unajua ni kwanini? Kwasababu ya huo muda wa miaka mia moja, walihitaji miaka hii ili tukio liweze kutimia. Kama wangepishana kwa miaka 4 hadi 20 huu mpango usingefaa kwasababu wasingeweza kuutengeneza kwasababu ya uchache wa muda na umuri wa watu wa movie hiyo.
Siwezi kueleza zaidi ila kuna watakaonielewa.
 
Mkuu utamtengeneza mtu mpaka siku yake ya kuzaliwa
 
Huyu ya pili alitengenezwa ili auwawe kama wa kwanza, wauaji walitengenezwa na kila kitu kilisukwa, unajua ni kwanini? Kwasababu ya huo muda wa miaka mia moja, walihitaji miaka hii ili tukio liweze kutimia. Kama wangepishana kwa miaka 4 hadi 20 huu mpango usingefaa kwasababu wasingeweza kuutengeneza kwasababu ya uchache wa muda na umuri wa watu wa movie hiyo.
Siwezi kueleza zaidi ila kuna watakaonielewa.
Umetafakar vzr ulichokiandika l?

Kwahyo mtu aliyetengeneza alikuwa ni Nan na yeye alikaa Kwa umri Gani kusubiri alichokitengeneza kitimie? Kumbuka miaka 100 sio umri mdgo na hadi kusema swala la kutengeneza tukio huyo mtengenezaji mwenyew sio mtoto ni mtu mzma

mwenye akili zake timamu nataka ufanye upembuzi kichwani mwako wakat anapanga huo mpango yeye mwenyewe aliwezaje kutimiza mpango wake au yeye hakuwa na sifa ya kufa kulingana na gap Hilo la 100yrs.
 
Please soma vitabu mkuu,
 
Back
Top Bottom