Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mkuu kama hizo nondo unazosema ni soft copy nakuomba nitumie nipate vitu vipyaaa
 
Mkuu Dr mambo jambo nakuomba kama ni soft copy nitumie plz
 
Kiranga tunaomba maoni yako mkuu! Hii mada inakufaa sana.
 
Kilichofanya akupe hivyo vifungu ni Ili ujue kwann amesema Mungu &Shetani anaweza akawa ni kiumbe mmoja isipokuwa anafanya mambo tofaut kulingana mazingr na ndio maana kaanza na real object eg kisu,

Ili iwe rahisi kuelewa kwamba kisu kilekile ila kinafanya vitu viwili vyenye impacts tofaut, na ndio maana baadae akaja kwenye maandiko kuonyesha the same God anafanya vitu viwili tofauti light & Darkness, akaja Tena Kwa Saul from the same sorce inatoka roho njema na roho mbaya .
 
Kiranga tunaomba maoni yako mkuu! Hii mada inakufaa sana.
Ukitaka habari za ulimwengu kuonekana kama uko simulated zama kwenye constants of nature huko kwenye strong and weak nuclear force, soma cosmology na cosmogony.

Soma.

John D. Barrow katika "The Constants of Nature: From Alpha to Omega - The Numbers That Encode The Deepest Secrets of The Universe"

Martin Rees katika "Just Six Numbers : The Deep Forces That Shape the Universe.


Soma Nick Bostrom "The Anthropic Bias: Observation Selection Effects in Science and Philosophy"


Soma Michael Talbot "The Holographic Universe :The Revolutionary Theory of Reality"

Soma Philip Goff "Why? The Purpose of the Universe"

Kwa sasa nakisoma hiki cha mwisho, kimeelezea vizuri hayo mambo ya simulation in a very deep way.

Nime attach vitabu kwa atakayependa kusoma.
 

Attachments

Mkuu unastahili tuzo kwa kujua kuelewesha
👏👏👏👏
 
Naomba niseme shukrani sana hiki kitabu nilikitafuta sana na mara ya mwisho Nilikiona amazon kinauzwa bei ya kutosha..

Shukrani sana mkuu Hatimaye nimekipata
Shukrani snaa
Na martin rees ndo mwandishi wangu pendwa the best cosmologist na astrophysicist..
 
Jaribu kupitia pia kuna kitab martin rees kaandika kuhus Numerology ni kizuri kuhusu maswala ya Universe probability
 
Binafsi hii imeshawahi nitokea Ila kwa upande wa mahusiano, Ma Ex wangu takribani wanne wote wamezaliwa tarehe moja na mwaka huo huo mmoja mpaka huwa nikikaa naona kama muujiza hivi lakini ndio ishatokea hivyo.
 
Unataka kitabu gani viko vingi sana
* Tafuta God Dillusion cha Richard Dawkins
  • In God we doubt cha John Humphrys
  • Misquoting Jesus "The story behind who change the bible and why" cha Bart Ehrman
  • Soma Agnosticism cha Robin Le Poidevin..
  • Letter to christian nation cha sam harris

Soma the epic of gilgamesh (Hii ili uonee kuwa hata Vitu vingi kwenye biblia kama stories wametoa humu ns kilikuwepo kabla hata ya Musa)

Na kuhusu Anunaki I recomend soma Anunaki series books vya Maximillien de Lafayette

Kama (The Anunnaki and Ulema-Anunnaki the Vault of Forbidden Knowledge and the Universe’s Greatest Secrets kitabu cha tatu na pia Kingine ni learn To speak anunaki)


Hizo ulizoorodhesha hapo zote naomba mkuu.
 
Binafsi hii imeshawahi nitokea Ila kwa upande wa mahusiano, Ma Ex wangu takribani wanne wote wamezaliwa tarehe moja na mwaka huo huo mmoja mpaka huwa nikikaa naona kama muujiza hivi lakini ndio ishatokea hivyo.
Hahahahaha inabidi ukawaoe wote , maana naona pia wanaweza kufa siku moja wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…