Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Kama maneno ni roho inayoweza kumshambulia mtu why laana isiwe roho Kama yalivyo maneno mengine ?

Umeongelea Amri ila Biblia inaonyesha alishawishiwa na kushawishi Mara nyingi ni manipulation na nilichokiona hapo kulikuwa like of influence Kama ilivyo asili yake shetani.

Kuumba inaweza kuwa kutamaka Kama alivyofanya kwa Kila jamabo
Kutamka ni kuumba na Kama neno ni roho inayounbwa kwa neno, Bila Shaka no laana ndiyo iliyozungumziwa.
 
corrupted by money and the collective mission of humanity on Earth has been kidnapped by money.
Corrupted by money
Issue ni corrupted wisdom kwa kuzidanganya nafsi zao ila mwisho wa siku

Beliefs, Value and attitude naziangalia Kama ngao kudrive purpose ya mtu na ni core inputs katika life ya binadamu
Hizo zinaleta idea nzima ya wewe ulivyo na unavyoyajadili mambo

Personal reality affects personality
 
Your personality affects your personal reality? Where did you learn that from son?
 
nilichokiona hapo kulikuwa like of influence Kama ilivyo asili yake shetani
That means you know who is Satan out of the Bible or you're forced to think from within the box I mean the box the Bible? Wake up son

Do you want to be like a caged monkey given banana to eat as a reward so that he can dance to a certain song played by his own master's?
 
Do you think you're awaken being ?
Nakueleza kilicho andikwa wewe unaleta pigo za monkey in a cage ajabu Sana kutaka nitumie perspective zako ktk kufikiri kwangu
 
Do you think you're awaken being ?
Nakueleza kilicho andikwa wewe unaleta pigo za monkey in a cage ajabu Sana kutaka nitumie perspective zako ktk kufikiri kwangu
Some sort of awakening being but why do you ask something? You know what I mean your masters play the same song and you dance on the same song but you don't ask why am I dancing the same song over and over again like a caged monkey do? Waiting for banana as your reward?
 
Ujiulize swali Hilo Hilo
Kwanini unajibariki na kujiona kuliko kuonwa na kubarikiwa
Na hujaona hiyo n cage kwa nyani anayejipigia makofi ?
 
Ya kweli haya????
 
Ujiulize swali Hilo Hilo
Kwanini unajibariki na kujiona kuliko kuonwa na kubarikiwa
Na hujaona hiyo n cage kwa nyani anayejipigia makofi ?
Come again say what? You're a caged monkey not me, understood? Your thinking tank is from within the Bible (the box) not out of the Bible (the box), where is Satan and where is GOD out of the Bible (the box)? You're framed to think like that, copy that son?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…