Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
indoctrination, deception, and tactics of fearTushasema mambo ya kiroho ni Chaka la kufichia ujinga wowote ule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
indoctrination, deception, and tactics of fearTushasema mambo ya kiroho ni Chaka la kufichia ujinga wowote ule
Another tool for mass slavery that they are using against us, is the so-called educational system.Mi ndo nakuambia...😂
...invisible slavery of the monetary system.Tuendelee kudanganyana
The financial system has enslaved our species and now we are being used as slaves of money.Hidden Society.
Naomba hvyo vitabuMKuu hizi Agnosticism na ignosticism nilijifunza sana na vitabu ninavyo si chini ya 15 na ndo ilinipelekaga kujifunza kuhusu ANUNAKI na pia kuhusu Atheist...
hIi kwa mtu ambaye hayuko tayari kuupokea Ukweli asije akajaribu kugusa kusoma hizo vitu wengi wanachanganyikiwa..
Na mimi mkuu DR Mambo JamboNaomba hvyo vitabu
Exactlyindoctrination, deception, and tactics of fear
😂Huko me simoAnother tool for mass slavery that they are using against us, is the so-called educational system.
Mkuu asante kwa bandiko. Nilishaliona siku nyingi lakini it worth to put it here for discussion. Mimi huwa nadhani kunamambo mengi sana ambayo binadamu hatujayajua kutuhusu. Nasema hivi kwa sababu kuna ndoto ambazo mimi nikiota, basi kesho yake kuna tukio litanitokea hata nijaribu kuwa mwangalifu namna gani. Ni hivi: nikiota nimengalia juu angani halafu nikaona nyota nyingi lakini moja ina rangi nyekundu, basi kesho yake ni lazima nitaumia wakati nafanya kazi na damu itatoa. Hili limenitokea tangu nikiwa mdogo mpaka sasa. Siyo kila nikiumia na damu kutoka huwa nimekuwa nimeota jana yake, ila kila nikiota basi lazima nitaumia na damu kutoka.Ni swali ambalo huwa linaniumiza Mpaka leo kuliwaza!
Huwa nakuja kwenye baadhi ya Hypothesis..
Maybe ANUNAKI kama baadhi ya vitabu vinavyosema or Maybe Mungu mwenyewe au maybe Shetani or May some kind of Group...
But kinachoumiza ni kwamba Once you know the Theories and Hypethetical Thought za Simulation Huwa hazina jibu hata ukijaribu kuzipuuza vipi
Ntakupa vichache kavisome:-Naomba hvyo vitabu
YEah mkuu, hiyo ni kweli na wapo watu wanaota matukio kabisa jinsi yalivyo na yanatokea kama yalivyoMkuu asante kwa bandiko. Nilishaliona siku nyingi lakini it worth to put it here for discussion. Mimi huwa nadhani kunamambo mengi sana ambayo binadamu hatujayajua kutuhusu. Nasema hivi kwa sababu kuna ndoto ambazo mimi nikiota, basi kesho yake kuna tukio litanitokea hata nijaribu kuwa mwangalifu namna gani. Ni hivi: nikiota nimengalia juu angani halafu nikaona nyota nyingi lakini moja ina rangi nyekundu, basi kesho yake ni lazima nitaumia wakati nafanya kazi na damu itatoa. Hili limenitokea tangu nikiwa mdogo mpaka sasa. Siyo kila nikiumia na damu kutoka huwa nimekuwa nimeota jana yake, ila kila nikiota basi lazima nitaumia na damu kutoka.
TRue kabisa..Another tool for mass slavery that they are using against us, is the so-called educational system.
Mkuu Uko sahihi sana.....invisible slavery of the monetary system.
...fear generated by religion.
...fear of being punished (imprisoned or killed) by the system.
...bad manners combined with constant indoctrination.
Inamaanisha kwamba kuna maisha mengine baada ya haya? Na kwa nn?Mkuu Uko sahihi sana..
Leo hii Dini wangesema Ukifanya dhambi hakuna Moto na wala hakuna Hukumu wote mnaenda sehemu moja tu haijalishi umefnya mema au mabaya..
Nani atakuwa na dini?
Nani ataenda kusali?
Thats NWO
Its Un answered Question hiyo! Because Nothing can be proved with non living organismInamaanisha kwamba kuna maisha mengine baada ya haya? Na kwa nn?
Mmh mkuu kwamba kumbe hizi mambo za dhambi ni fallacy?Mkuu Uko sahihi sana..
Leo hii Dini wangesema Ukifanya dhambi hakuna Moto na wala hakuna Hukumu wote mnaenda sehemu moja tu haijalishi umefnya mema au mabaya..
Nani atakuwa na dini?
Nani ataenda kusali?
Thats NWO
Hivi vitabu naweza kupata bure au vya kulipia? Kiingereza changu cha kuungaunga lakini nitajikaza kwerikwrri nisome na kuelewa hata kwa kurudia sentensi mara 10 mpaka nieleweNtakupa vichache kavisome:-
Soma the epic of gilgamesh (Hii ili uonee kuwa hata Vitu vingi kwenye biblia kama stories wametoa humu ns kilikuwepo kabla hata ya Musa)
- Tafuta God Dillusion cha Richard Dawkins
- In God we doubt cha John Humphrys
- Misquoting Jesus "The story behind who change the bible and why" cha Bart Ehrman
- Soma Agnosticism cha Robin Le Poidevin..
- Letter to christian nation cha sam harris
Na kuhusu Anunaki I recomend soma Anunaki series books vya Maximillien de Lafayette
Kama (The Anunnaki and Ulema-Anunnaki the Vault of Forbidden Knowledge and the Universe’s Greatest Secrets kitabu cha tatu na pia Kingine ni learn To speak anunaki)
ila the best Kuhusu Anunaki soma hiki cha gerald clack "THE ANUNAKI OF NIBIRU "the man kind forgoten creater "
Hiki ni kizuri kina story yote Kuanzia walivyokuja Jwenye hii sayari miaka 6000 iliyopita wakaumba mtu n.k..
Mkuu viko vingi sana ila hivyo kwa leo..
Maana vitabu its almost Miaka saba nasomaga hivi vitabu mwanzoni vilikuwa vinanipa doubt sana ila kadri navyosoma ndo vilinifungua kuwa napata reasoning ya vitu..
nakuongeea..
Book of the dead (Humu kuna Amri kumi za mungu Ambazo ziliandikwa miaka kibao kabla ya Musa kuzaliwa)
Emerald Tablets..
Cc:- passion_amo1
Dhambi ni nini mkuu?Mmh mkuu kwamba kumbe hizi mambo za dhambi ni fallacy?
Kama ni hvAnother tool for mass slavery that they are using against us, is the so-called educational system.