Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Ni swali ambalo huwa linaniumiza Mpaka leo kuliwaza!
Huwa nakuja kwenye baadhi ya Hypothesis..
Maybe ANUNAKI kama baadhi ya vitabu vinavyosema or Maybe Mungu mwenyewe au maybe Shetani or May some kind of Group...

But kinachoumiza ni kwamba Once you know the Theories and Hypethetical Thought za Simulation Huwa hazina jibu hata ukijaribu kuzipuuza vipi
Mkuu asante kwa bandiko. Nilishaliona siku nyingi lakini it worth to put it here for discussion. Mimi huwa nadhani kunamambo mengi sana ambayo binadamu hatujayajua kutuhusu. Nasema hivi kwa sababu kuna ndoto ambazo mimi nikiota, basi kesho yake kuna tukio litanitokea hata nijaribu kuwa mwangalifu namna gani. Ni hivi: nikiota nimengalia juu angani halafu nikaona nyota nyingi lakini moja ina rangi nyekundu, basi kesho yake ni lazima nitaumia wakati nafanya kazi na damu itatoa. Hili limenitokea tangu nikiwa mdogo mpaka sasa. Siyo kila nikiumia na damu kutoka huwa nimekuwa nimeota jana yake, ila kila nikiota basi lazima nitaumia na damu kutoka.
 
Naomba hvyo vitabu
Ntakupa vichache kavisome:-

  • Tafuta God Dillusion cha Richard Dawkins
  • In God we doubt cha John Humphrys
  • Misquoting Jesus "The story behind who change the bible and why" cha Bart Ehrman
  • Soma Agnosticism cha Robin Le Poidevin..
  • Letter to christian nation cha sam harris
Soma the epic of gilgamesh (Hii ili uonee kuwa hata Vitu vingi kwenye biblia kama stories wametoa humu ns kilikuwepo kabla hata ya Musa)

Na kuhusu Anunaki I recomend soma Anunaki series books vya Maximillien de Lafayette

Kama (The Anunnaki and Ulema-Anunnaki the Vault of Forbidden Knowledge and the Universe’s Greatest Secrets kitabu cha tatu na pia Kingine ni learn To speak anunaki)

ila the best Kuhusu Anunaki soma hiki cha gerald clack "THE ANUNAKI OF NIBIRU "the man kind forgoten creater "

Hiki ni kizuri kina story yote Kuanzia walivyokuja Jwenye hii sayari miaka 6000 iliyopita wakaumba mtu n.k..

Mkuu viko vingi sana ila hivyo kwa leo..
Maana vitabu its almost Miaka saba nasomaga hivi vitabu mwanzoni vilikuwa vinanipa doubt sana ila kadri navyosoma ndo vilinifungua kuwa napata reasoning ya vitu..

nakuongeea..
Book of the dead (Humu kuna Amri kumi za mungu Ambazo ziliandikwa miaka kibao kabla ya Musa kuzaliwa)

Emerald Tablets..

Cc:- passion_amo1
 
YEah mkuu, hiyo ni kweli na wapo watu wanaota matukio kabisa jinsi yalivyo na yanatokea kama yalivyo
 
Another tool for mass slavery that they are using against us, is the so-called educational system.
TRue kabisa..
Unaandaliwa kuwa mtumwa kwa kufata Ideas na mawazo ya watu wakati wewe huachwi ukapanua ubongo na kufanya mawazo yako binafsi
 
...invisible slavery of the monetary system.

...fear generated by religion.

...fear of being punished (imprisoned or killed) by the system.

...bad manners combined with constant indoctrination.
Mkuu Uko sahihi sana..

Leo hii Dini wangesema Ukifanya dhambi hakuna Moto na wala hakuna Hukumu wote mnaenda sehemu moja tu haijalishi umefnya mema au mabaya..
Nani atakuwa na dini?
Nani ataenda kusali?
Thats NWO
 
Inamaanisha kwamba kuna maisha mengine baada ya haya? Na kwa nn?
 
Mkuu Uko sahihi sana..

Leo hii Dini wangesema Ukifanya dhambi hakuna Moto na wala hakuna Hukumu wote mnaenda sehemu moja tu haijalishi umefnya mema au mabaya..
Nani atakuwa na dini?
Nani ataenda kusali?
Thats NWO
Mmh mkuu kwamba kumbe hizi mambo za dhambi ni fallacy?
 
Ntakupa vichache kavisome:-

  • Tafuta God Dillusion cha Richard Dawkins
  • In God we doubt cha John Humphrys
  • Misquoting Jesus "The story behind who change the bible and why" cha Bart Ehrman
  • Soma Agnosticism cha Robin Le Poidevin..
  • Letter to christian nation cha sam harris
Soma the epic of gilgamesh (Hii ili uonee kuwa hata Vitu vingi kwenye biblia kama stories wametoa humu ns kilikuwepo kabla hata ya Musa)

Na kuhusu Anunaki I recomend soma Anunaki series books vya Maximillien de Lafayette

Kama (The Anunnaki and Ulema-Anunnaki the Vault of Forbidden Knowledge and the Universe’s Greatest Secrets kitabu cha tatu na pia Kingine ni learn To speak anunaki)

ila the best Kuhusu Anunaki soma hiki cha gerald clack "THE ANUNAKI OF NIBIRU "the man kind forgoten creater "

Hiki ni kizuri kina story yote Kuanzia walivyokuja Jwenye hii sayari miaka 6000 iliyopita wakaumba mtu n.k..

Mkuu viko vingi sana ila hivyo kwa leo..
Maana vitabu its almost Miaka saba nasomaga hivi vitabu mwanzoni vilikuwa vinanipa doubt sana ila kadri navyosoma ndo vilinifungua kuwa napata reasoning ya vitu..

nakuongeea..
Book of the dead (Humu kuna Amri kumi za mungu Ambazo ziliandikwa miaka kibao kabla ya Musa kuzaliwa)

Emerald Tablets..

Cc:- passion_amo1
Hivi vitabu naweza kupata bure au vya kulipia? Kiingereza changu cha kuungaunga lakini nitajikaza kwerikwrri nisome na kuelewa hata kwa kurudia sentensi mara 10 mpaka nielewe
 
Another tool for mass slavery that they are using against us, is the so-called educational system.
Kama ni hv
Je Kuna ukweli wowote waweza kuupata kupitia maandishi ?

Nimeona kwenye pyramids ktk level za juu yupo shetani, Je wewe una Amini Hilo ?
 
Back
Top Bottom