Mambo gani hupelekea kampuni kubwa kubadilisha jina mara kwa mara?

Hivi nikibadilisha jina, madeni yangu yanafutika ?
Unaenda kama muwekezaji, inabidi kwanza kabla kuwekeza ujiridhishe na mazingira ya biashara kama ni rafiki.
Katika majadiliano wanakuhakikishia kwamba mazingira ni rafiki na sheria ipo ambayo itakupa muda wa kutosha. Let's utapewa miaka mitano ambapo kuna aina ya kodi hautazilipa na baadhi majukumu ya kimkataba hautayafanya mpaka baada ya miaka hiyo mitano na utakaporidhika.
Mnakubaliana na kazi inaanza, unapomaliza miaka mitano mnarudi mezani ili kupeana mirejesho, hapo ndipo unaelezea kutoridhishwa na mambo kadhaa wa kadha na kuwaelezea dhamira yako ya kutoendelea na biashara nchini mwao na hivyo umeamua kuiuza kampuni kwa muwekezaji mwingine.
Anapokuja 'muwekezaji' mwingine 'aliyeuziwa' kampuni yeye anaanza na kubadilisha jina na CEO. Halafu na yeye anakuja kuongeea na nyinyi na nyie mnamhakikishia mazingira rafiki na uwepo wa sheria ile ya miaka mitano bure, na yeye anaanza kazi, ikifika mitano 'anauza' kampuni.

Sijui ile sheria bado ingalipoau laah
 
Bado ipo na ndiyo inayo tumika na ninafikiri unapewa zaidi ya miaka mitano
 
Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)?

Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
Kulikuwa na ile sheria kuwa kampuni mpya haitolipa kodi kwa miaka 2, watu wana pita nayo mkuu,
Ndio maana watu husema ni rahisi kufanikiwa Tanzania kuliko sehemu yoyote Ktk ukanda wetu
 
Screenshot_20241128-092653.jpg
 
Back
Top Bottom