Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)?
Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
Nijuavyo tigo haijabadili jina mara nne, pengine mara mbili; Mfano, Buzzy ilikuwa ni promotion brand watu wakafikiri ni jina limebadilia.
Sababu za kubadilisha jina kwa kampuni kubwa zaweza kuwa;
1. Kampuni kuuzwa kwa mmiliki mpya
2. Kampuni kujiunga kwenye chain ya Biashara (kama kwa mahotel, 4seasons, Hyatt, nk nk)
3.Kampuni kuweka jina linalo reflect biashara ya kipindi hicho (kuifanya ionekane mpya)
4. Kampuni kupata fursa ya kujadili upya kodi za uwekezaji