Mambo gani umejifunza 2024?

Yaani kweli mkuu...
Daaah kupambana tuu japo si vyema kupambana ili kuwa prove watu kitu fulani
Kama mwanaume, nia ya kupata mafanikio ni kuongeza heshima na thamani yako.
Binafsi, nashindana na mzee wangu. Pale alipokosea mi ndo narekebisha. Lengo ni kuhakikisha natimiza hata nusu ya malengo yake aliyoshindwa. Naamini mimi ni new version of him.

Pili, mahaters zangu wakubwa ni maex zangu mpaka sasa. Sababu kubwa ni tamaa zao. Najua bado wanani stalk kuhakikisha kama walifanya uamuzi sahihi au la. Lengo langu wapate majibu ya maswali yao.
 
Kama wanavyosema kuwa you're what you eat, basi people around us wana influence ktk maisha hapa inaweza kuwa positive or negative sasa basi jaribu kupata marafiki wapya, jifunze mambo mapya na tembelea sehem mpya. Huwezi kuwa unataka kuwa labda rubani ila unashinda kwenye banda la fundi maiko anaeshona shati la kijani lilodariziwa na njano shingoni na analiashona kwa week nzima na bado haliishi halafu utegemee matokeo chanya.
 
Mimi ni rafiki yako bana
 
kweli marafikiii ni kua nao makini sana, yani ptuuuuh[emoji25] mbakasya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…