milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Nimejifunza kuwa,Wakili msomi, Kibatala alikuwa anapata kesi za kusimamia zihusuzo Chadema kwa sababu ya TAL.
SASA KESI HAZITAKUWEPO TENA
SASA KESI HAZITAKUWEPO TENA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwanaume, nia ya kupata mafanikio ni kuongeza heshima na thamani yako.Yaani kweli mkuu...
Daaah kupambana tuu japo si vyema kupambana ili kuwa prove watu kitu fulani
Unamsaidia tu kiroho safi, kama una uwezo huo.Yesssssir!
Mtu akiwa na shida ya mkopo ashauriwe akakope bank ili kulinda urafiki
Kama wanavyosema kuwa you're what you eat, basi people around us wana influence ktk maisha hapa inaweza kuwa positive or negative sasa basi jaribu kupata marafiki wapya, jifunze mambo mapya na tembelea sehem mpya. Huwezi kuwa unataka kuwa labda rubani ila unashinda kwenye banda la fundi maiko anaeshona shati la kijani lilodariziwa na njano shingoni na analiashona kwa week nzima na bado haliishi halafu utegemee matokeo chanya.Nimeelewa kwanini watu wanaogopa kutaja umri wao halisi.
Muda ni kitu cha thamani mno, tumia muda wako vizuri kufanya vitu vya maana kwako usije ishi kwa majuto.
Wengi wetu tupo hai lakini hatuishi.
Hatujitahidi hata kujaribu kuishi kwa malengo,
Huu ulimwengu wa kibepari unatutaka tuwe watumiaji tu, na sio waundaji/watengenezaji.
Haswa sisi watu wa 2000s kazi tunayo.
Sijawahi kukuzunguka dearNimejifunza in a hard way
Mimi ni rafiki yako banahapo pa the so-called 'marafiki', dah..!! kubabake sina hamu kilichonikuta mwaka huu..!!
Nimeamini hawa raia tunawaita 'rafiki' zetu wana uwezo hata kutuzika tukiwa hai na kuja kulia msibani..!!
Nimejifunza tuna watu tu 'tunaofahamiana' nao ndiyo wametuzunguka, kumpata the so-called RAFIKI kwenye haya maisha siyo rahisi kama nilivyodhani, ptuuuuh'..!🙌
sihitaji marafiki - Fid Q ft. Yvonne Mwale..!!
kweli marafikiii ni kua nao makini sana, yani ptuuuuh[emoji25] mbakasya!hapo pa the so-called 'marafiki', dah..!! kubabake sina hamu kilichonikuta mwaka huu..!!
Nimeamini hawa raia tunawaita 'rafiki' zetu wana uwezo hata kutuzika tukiwa hai na kuja kulia msibani..!!
Nimejifunza tuna watu tu 'tunaofahamiana' nao ndiyo wametuzunguka, kumpata the so-called RAFIKI kwenye haya maisha siyo rahisi kama nilivyodhani, ptuuuuh'..![emoji119]
sihitaji marafiki - Fid Q ft. Yvonne Mwale..!!
🤣🤣🤣🤣Mnajisikiaje kuchangia hoja kwa mafumbo? 😂
Weuweee hata hivyo madem zako si wote dei waka experience hiyo ni vipiKabisa hili nimejifunza kwa expense kubwa sanaaaa
Kama ulikuwa moyoni mwangu
Tatu kavu inakuaje.....Yeah nimeamini,. Nilianza na ile ya Masaa15 nilisali siku tatu mfululizo nikiwa nafunga tatu kavu,.
Yaani natamani hata kila mtu angekua anaijua 🙌