Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
- Thread starter
- #201
1. Ishi kama wewe, huwa sijali mtu atasema nini kuhusu mimi. (I enjoy my life while I can)
2. Kutoa sadaka sio kupeleka kwa Mwamposa bali ni kuwasaidia walio karibu na wewe wenye uhitaji (simaanishi ndugu).
Kumbe uliacha kwenda kwa Mwamposa 😂😂