Mambo gani umejifunza 2024?

Mambo gani umejifunza 2024?

Mwanamke

Mahusiano
Marafiki

Haya ndo mambo kila mwanamke Tanzania utayekutana nae atakuwa anakuambia
Nilitaka kucomment kama wewe mkuu, wanawake ni kama wapo duniani kwa ajili ya mapenzi tu.

Status zao huko whatsapp ni vijembe vya maex, ushauri wa marafiki na mapenzi.
Akijitahidi saana ataweka zile nyimbo zenye maudhui kua kaachana na mapenz sasa anatafuta pesa na ishu ka izo.
 
2024 nilichojifunza ni kutopararakia watu ambao walishaonyesha interest za kutokuwa pamoja na wewe hiki ni kisasi bora kabisa.

Pili kuheshimu muda kuliko vyote.

Tatu, kuwa na roho ngumu na kujiamini sambamba na kusimamia maamuzi yako
 
Tuendelee kuishi humu
 
Huna imani wewe😂😂😂,.

Unafunga siku tatu mfululizo,. Ila mama angu alinambia kama huwezi kuvumilia unaweza ukawa unakunywa maji ule mda wa kufuturu jioni lakini usile kitu kingine chochote zaidi ya maji mpaka siku tatu zikamilike
Nataman kukuuliza vingi Ila ngoja nijitahd wiki hii ntaleta mrejesho....

Novena ya Mt Ritha!
 
Back
Top Bottom