Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

Maisha bila pesa kwangu haikunisababishia shinda kwenye kula tu ila had kulala kwangu ilikua ni adhabu.

Nilala chini huku nimejifunika shuka langu lenye tundu kubwa la kuungua kwa moto katikati
ilipofika usiku wa manane baridi ilikua kali sana nikashindwa kuvumilia barid la chin kwenye cement, nkatoka nje bahat nzuri nikakutana na ubao mmoja mfupi ikabidi niuchukue nikauweke chini niulalie ili nijistiri na baridi, Sasa ikawa mimi ni mrefu kuliko ule ubao ilinibidi nilale nikiwa nimejikunja magoti yamegusa kifua na hayo ndo yakawa maisha yangu kwa muda flani.
Hapo bado msoto wa chakula, aisee asikwambie mtu njaa n hatari na ni blaa[emoji26].
 
Ogopa sanaa huna hela alafu mchumba anakupigia simu muende Gest yuko tayari na mesha chart sana kimahaba.

Sasa Jomba pesa huna unaishia kuchukua kopo la sabuni na ndoo ya maji unaenda chooni kuamsha hisia dem ndo kaja gest.

Dadeki unasugua mrija na sabuni kisha una nawa unarudi ndani kutazama picha na kulala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hili life bana baada ya kumaliza chuo nikagoma katakata kurudi home mdigi alinibembeleza sana nikasema hapana baada ya mda kidogo maisha yakaanza kuwa magumu sana cos no msaada toka home, nikipata pesa kidogo nilikuwa na nunua karanga mbichi robo nakula asbh na mchana jion nazunguka kwenye maghetto ya wana waliobaki kuvizia msosi aise,
Nikiona mambo hayaeleweki kwa wana natembea kama kilometer 7 kwenda kula msosi kwa jamaa angufani ivi hadi kwao nikawa famili member, Mungu amesaidia sijawai rudi nyumbani huu mwaka 4 toka nimalize chuo zaidi nilienda kwenye interview na msibani nikapata nafasi ya kupita home kuwapa hi
usione watu wametoboa ukajua ni rahisi tu maisha ya mambo mengi
 
Hii sasa ndio fedheha mengine naona yametajwa matukio tu
 
Pole sana mkuu hii kwel ilikua fedheha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…