PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Namba 2 taua
Namba 2 TAYARI tunaendelea kufatilia uongo wako.
 
HATIMAYE JAMBO LA PILI LIMETIMIA RASMI....
 
Namba 2 tayari☑️☑️
 
2 na 6
 
Ndoto za alinacha kama hiyo namba 4 ndio haiwezekani kabisa! Kwasababu chadema wenyewe wataogopa mgombea urais kurudi nyumbani baada ya uchaguzi.
 
Huu utabiri kama una ukweli vile?
 
TAL for president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…