mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Kuwa na akili ni pamoja na kufahamu, unachokishabikia kinamchango upi kwenye maisha yakoMungu akusamehe sana gentleman, kwakua hujui unenalo,
Aimen
Labda awe Luhaga Mpina. Namkubali sana ana mdimamo kama Lissu.mkuu unamaanisha Lissu hatogombea urais kupitia Chadema.? na unaposema eti mgombea wa Chadema atotoka Ccm hayo ndio kama ya Lowassa kipindi kile je,Lissu na chama chake watampitisha huyo mwana Ccm kuwa mgombea wao wa urais.? inawezekana ww mleta mada ni mwana Ccm na huko ccm washampitisha samia na nchimbi kuwa wagombea kwahiyo nyie wengine wenye tamaa ya urais hamna nafasi tena.! hivyo mnataka kuleta wagombea wenu vyama vya upinzani..kama Lowassa na mafuriko yake alishindwa huko Ccm sasahivi kuna nani huyo mwenye nguvu,mvuto na anayeuzika kumzidi Lissu au Lowasa wa kipindi kile mnaempanga aje Chadema awe mgombea..je,huyo mtu wenu ni mzalendo kwa taifa ambae ataleta mabadiliko na maendeleo kwa nchi au ndio mwendelezo wa ulaji kama ilivyo ada ya Ccm baada ya kukosa fursa huko Ccm baada ya samia kuwawahi.?
Sema Mshindi awe lissu1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Pasi......Kali..... TISS aliyefeli kuwa recruitedPaskali mayalla na zile post zake za yeye, aliyeteuliwa na yeye, kama si yeye basi ni yeye.
Ikulu kualikwa akafate nini?And to be sure odds enough... TUNDU LISSU atatoka Jera na KUPITILIZA UBALOZI WA MAREKANI kabla ya Kwenda OFISI ZA CHAMA KUHUTUBIA na atakataa mualiko WA ikulu.
LUHAGA PAMOJA NA LEMA NI CAMPAIGN MANAGERS WA MGOMBEA WA CHADEMA AJAYELabda awe Luhaga Mpina. Namkubali sana ana mdimamo kama Lissu.
..kama ni kweli basi GODs must be CRAZYZama zimebadilika, hiki sio kile kizazi cha kiburuza.
FAM ALIFATA NINI..... NDO UTAJUA UTOFAUTI KATI YAO.Ikulu kualikwa akafate nini?
Ungethibitisha hilo walau kwa kutumia nyaraka kadhaaPasi......Kali..... TISS aliyefeli kuwa recruited
Yes, the God's must be Crazy wewe huwezi ukamfungulia mtu kesi ya Uhaini sijui Uasi kisa tu eti ni mpinzani wakati Waasi na Wahaini wengi wamejazana upande wako, Amos anadunda tu huyu ni Muasi namba moja ila sababu yupo chama cha kijana aah anaachwa tu anapiga misele..kama ni kweli basi GODs must be CRAZY
Mbona CDM wanatekana na kuuana, mko kwenye gasping stage, kinachofuata ni Death certificate and Burrial permit ya CDM, u will never recover or ressurectKuwa na akili ni pamoja na kufahamu, unachokishabikia kinamchango upi kwenye maisha yako
Unashabikia CCM ambapo inauwezo wa kumteka hata ndugu yako wa damu kisa kaenda kupugia kura chama kingine?
Unazungumzia nini?Mbona CDM wanatekana na kuuana, mko kwenye gasping stage, kinachofuata ni Death certificate and Burrial permit ya CDM, u will never recover or ressurect
Muda utaongea1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Hawezi kwenda kuchukua maburungutu IkuluFAM ALIFATA NINI..... NDO UTAJUA UTOFAUTI KATI YAO.
Hebu tuambie kwa nini huyo Jamaa anaachwa pembeni hawamjali. Au alijimwambafai mahali wakaona wamuache ale kujimwambafai kwakePasi......Kali..... TISS aliyefeli kuwa recruited
Msamehe Yuko NJE ya muda.Unazungumzia nini?
CDM will never recover to it's former glory, kama huamini u'r very delusional, hivi ndugu yako akiaga dunia (death) hautaamini na kuendelea kutunza mwili nyumbani hoping for recovery I.e ressurection??Unazungumzia nini?
Mkuu ulipotea sana.... Au ndo umerudi na kishindo Cha NO REFORMS NO ELECTION.Unajiuliza kwani uchaguzi ukiwa huru wao wanapata hasara gani nje ya ubinafsi wa madaraka?