Eti Polepole anapinga uchifu awamu hii ya sita wakati awamu ya tano hakupinga - Acha ikae hivyo hivyo!
Eti alipata kura za Uspika 100% wakati za chinichini zinaonesha kuna waliomkataa - Acha ikae hivyo hivyo!
Ndugai alizira uapisho wa mwenzake ikionesha ni dalili za uasi wa Serikali yake - Acha ikae hivyo hivyo!
Akina Mdee na 18 wenzake wanahaha iwapo wataendelea kubaki Bungeni kipindi cha Dkt Tulia - Acha ikae hivyo hivyo!
Makonda sasa anakimbia kama panya kaona paka wakati alikuwa anatembea kifua wazi - Acha ikae hivyo hivyo!
DPP kagoma kuachana na kesi ya akina Mbowe pamoja na ugaidi kutoonekana bado - Acha ikae hivyo hivyo!