Acha ibaki hivyo hivyo.Hao Covid wamewekwa bungeni na uongozi wa CCM sio Ndugai peke yake, sidhani kama wana hofu yoyote, kwa sababu system iliyowaweka bado ipo inawalinda.
Ndugai kuzira ule uapisho wa mwenzake inaonesha wazi either ile barua ya kujiuzulu hakuandika yeye, au alilazimishwa kuiandika hayakuwa mapenzi yake, nashangaa iweje kwenye ile barua akasisitiza NAJIUZULU KWA HIARI YANGU, wakati matendo yake ya sasa yanapingana na hiyo kauli yake.