Panapovuja pakionekana! Acha pake hivyo hivyo!Acha ikae hivyo hivyo. Acha inyeshe panapo vuja paonekane🏃.
Yap Ndugai alikuwa chamboHao Covid wamewekwa bungeni na uongozi wa CCM sio Ndugai peke yake, sidhani kama wana hofu yoyote, kwa sababu system iliyowaweka bado ipo inawalinda.
Pia ni haki yake kuhudhuria uapisho au kutohudhuria, Mr. Ndungai hakuvunja sheria yeyote ile. Kwa taarifa sitting President wa SA naye alisusa uapisho wa Urais wa President Mandela na akaamua kuacha politics kabisa na ukawa imeachwa hivyo hivyo!Hao Covid wamewekwa bungeni na uongozi wa CCM sio Ndugai peke yake, sidhani kama wana hofu yoyote, kwa sababu system iliyowaweka bado ipo inawalinda.
Ndugai kuzira ule uapisho wa mwenzake inaonesha wazi either ile barua ya kujiuzulu hakuandika yeye, au alilazimishwa kuiandika hayakuwa mapenzi yake, naahangaa kwenye ile barua akasisitiza NAJIUZULU KWA HIARI YANGU, wakati matendo yake ya sasa yanapingana na hiyo kauli yake.
Kweli. Acha ikae hivyo hivyo!Pia ni haki yake kuhudhuria uapisho au kutohudhuria ,Mr.Ndungai hakuvunja sheria yeyote ile...kwa taarifa sitting President wa SA naye alisusa uapisho wa Urais wa President Mandela na akaamua kuacha politics kabisa na ukawa imeachwa hivyo hivyo!
Kweli kabisa. Acha ikae hivyo hivyo!Ndugai alikua anakomalia wabunge watoro tayari na yeye kawa mtoro, Acha ikae ivoivo!
Japo ni haki yake lakini tunaangalia motive behind hasa iliyomsababisha akajiuzulu hiyo nafasi, Ndugai anaonesha wazi yale maamuzi alilazimishwa hayakuwa yake binafsi, habari ya SA sidhani kama inafanana kimazingira na ya Ndugai.Pia ni haki yake kuhudhuria uapisho au kutohudhuria, Mr. Ndungai hakuvunja sheria yeyote ile kwa taarifa sitting President wa SA naye alisusa uapisho wa Urais wa President Mandela na akaamua kuacha politics kabisa na ukawa imeachwa hivyo hivyo!
Acha ikae hivyo hivyo!Hao Covid wamewekwa bungeni na uongozi wa CCM sio Ndugai peke yake, sidhani kama wana hofu yoyote, kwa sababu system iliyowaweka bado ipo inawalinda.
Ndugai kuzira ule uapisho wa mwenzake inaonesha wazi either ile barua ya kujiuzulu hakuandika yeye, au alilazimishwa kuiandika hayakuwa mapenzi yake, nashangaa iweje kwenye ile barua akasisitiza NAJIUZULU KWA HIARI YANGU, wakati matendo yake ya sasa yanapingana na hiyo kauli yake.
Acha ikae hivyo hivyo!Japo ni haki yake lakini tunaangalia motive behind hasa iliyomsababisha akajiuzulu hiyo nafasi, Ndugai anaonesha wazi yale maamuzi alilazimishwa hayakuwa yake binafsi, habari ya SA sidhani kama inafanana kimazingira na ya Ndugai.
Acha ikae hivyo hivyo!Kwa huu mfumo uovu ni aibu tupu
Basi sawa! Acha ikae hivyo hivyoEti Polepole anapinga uchifu awamu hii ya sita wakati awamu ya tano hakupinga - Acha ikae hivyo hivyo!
Eti alipata kura za Uspika 100% wakati za chinichini zinaonesha kuna waliomkataa - Acha ikae hivyo hivyo!
Ndugai alizira uapisho wa mwenzake ikionesha ni dalili za uasi wa Serikali yake - Acha ikae hivyo hivyo!
Akina Mdee na 18 wenzake wanahaha iwapo wataendelea kubaki Bungeni kipindi cha Dkt Tulia - Acha ikae hivyo hivyo!
Makonda sasa anakimbia kama panya kaona paka wakati alikuwa anatembea kifua wazi - Acha ikae hivyo hivyo!
DPP kagoma kuachana na kesi ya akina Mbowe pamoja na ugaidi kutoonekana bado - Acha ikae hivyo hivyo!
Acha ikae hivyo hivyo!View attachment 2107269Good Morning my neighbours