Mambo haya ya siasa bhana, acha ikae hivyo hivyo!

Acha ibaki hivyo hivyo.
 
Mbowe ni Gaidi kwa kuajiri na kuwaandaa wanajeshi wastaafu kufanya uovu dhidi ya serikali.

Mbowe ni....Gaidi..

Acha ikae hivyohivyo.

Chadema kijiwe kimeanza kuwavuruga na ushahidi ni mnyukano mkubwa uliopo huko Mbeya mjini kati ya Sugu na Mwambigija......acha ikae hivyohivyo!

Mambo ni moto.
 
Dhana ya mtu kupata kura zote 100% ni mambo ya kijinga, kwani ukipata kura 70% kuna shida gani hapo?
 
Japo ni haki yake lakini tunaangalia motive behind hasa iliyomsababisha akajiuzulu hiyo nafasi, Ndugai anaonesha wazi yale maamuzi alilazimishwa hayakuwa yake binafsi, habari ya SA sidhani kama inafanana kimazingira na ya Ndugai.
Ni mada ya kujadiliana na we have a right to disagree,unaposema mazingira yanatofautiana ni kwa facts zipi?Mr.Ndungai alijiuzuru u speaker na Mr.CR alijiuzuru u SG wa ANC!na wote hawakuhudhuria kwenye uapisho na walitumia haki yao,sasa tofauti ipo wapi? ..anyway ibakie hivyo hivyo .
 
Acha ikae hivyohivyo
 
Hivi kuna asiyejua kwamba kwamba Ndugai alilazimishwa kujiuzulu?
 
Kuna tetesi nmeziskia kuwa ile barua ya kujiuzuru JOB iliandikwa na Watu wasiojulikana,yeye akawekwa chini ya Ulinzi akalazimishwa kutia Saini...Naye akatii Mamlaka acha ikae ivyo ivyo
 
Ikae hivyo hivyo vipi?
 
Shule zimefunguliwa na wanafunzi mnagoma kwenda wacha ikae hivyo hivyo
 
Japo ni haki yake lakini tunaangalia motive behind hasa iliyomsababisha akajiuzulu hiyo nafasi, Ndugai anaonesha wazi yale maamuzi alilazimishwa hayakuwa yake binafsi, habari ya SA sidhani kama inafanana kimazingira na ya Ndugai.
Alipoongea Yale aliyoongea kwani alilazimishwa?
 
Pamoja aliikomalia sana suala la utoro bungeni ingali nae ameanza kwa utoro ila wacha ikae hivyohivyo.
 
Ni kweli ni ngumu sana kwa dunia ya sasa wafu 376 wote wakakupa kura, ni kitu hakiwezekani. Ni lazima wawepo mmoja au wawili wataokukataa tu hata uwe malaika
Lakini acha ibaki hivyohivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…